Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

boss bado unakaa mwiki au ulishahama?
 
Nimemsikia, lakini kama hakuna kiongozi yeyote was Kenya aliyekemea kauli hiyo basi tusishangae yale ya Afrika kusini kutokea hapo Kenya.
Ila yakitokea hayo hakuna wakupona maana nao wakenya wako huku kwa wingi sana
Siku moja moja kumbe huwa unaacha ukibendera wako
Leo umeongea
 
Ndio hawa Wamejazwa kwa magari ya council wanakuja
 

Attachments

  • YOUme2CWz5ssE5Q8XhQXe1WZUpcEmyhDjsLnVjUO1vvO2g8zG6cj_RJJSfhNW2j3kUMoDevDRjfAsW5A-udp0zyPG5nj1...jpeg
    13.8 KB · Views: 22
Naiona marekani na china katika vita ya uchumi ndani africa mashariki
 

Kwa bahati mbaya sana historia inaendelea kudhihirisha ni namna gani wanasiasa wenye maono mafupi na uchu wa madaraka wametumia umasikini wa wananchi wao kuendeleza kujikweza na kuziba ombwe lao la "uongozi". Wamekuwa wakitafuta wakuwatupia lawama na kuchochea ubaguzi, ilhali ni uongozi wao duni ndio unaongeza matatizo kwa wananchi. Mwisho wa siku wanaongeza matatizo juu ya matatizo na kujakuondolewa kwa aibu na dhahma. Mwisho wake tutauona tu, time will tell.
Kina Mugabe, Mobutu, Idd Amin, nk. walijaribu huo mchezo, na mwisho wao tunaufahamu.
 
Hao wanaomsupport jaguar na vigelegele sio wakenya hao, eti wakenya hawana bifu nao
 
Hivi bongo huku si kuna equity,Kcb bank zinaoperate sio?

Tunajua pakupiga mpk wakenya watulize chachandu.
 
Sijawahi kuona umuhimu wa hii jumuiya, bora tuunde jumuiya nyingine iwe na watu kama hawa wanatumia bandari yetu
-Uganda
-Congo
-Burundi
-Rwanda
-Zambia

Hili limetokea, aliyesema hivyo ni kiongozi - mbunge. Sijui kama kuna kauli yeyote imetolewa na viongozi wa nchi yetu kulaani hilo tamko, au wanasubiri hali iwe mbaya ndo wajitpkeze.
 
Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
 
niliwahi kusema hapa nikaambulia matusi kwamba Kenya muda huu inawafukuza watanzania saa nyingine kuwachania permit na passport watanzania waishio Kenya,
Malalamiko haya niekuwa nayakuta ofisi mbali mbali na tuliahidi suala hili kulifanyia kazi
 
Yule mwehu '' Ana hamasisha chuki dhidi ya Mataifa hays mawili ambayo Yana muda mrefu sasa tangu yaamue kuwa na Ushirikiano kama ndugu ---

Yule ni moja ya viongozi wa ajabu kabisa ambao nimepata kuwashuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…