pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo umeona uwasaidie kwa kueneza umbea na porojo? Usalama wao umekuwa kwenye mikono ya nani siku zote hizo, tangia waanze kuishi Kenya? Tofauti kati yako na na wewe ni kwamba upo very idle jombaa, na wao wapo very busy wakijituma na kufanya kazi zao.Nimekuuliza, ungekuwa wewe unaishi Tanzania, kuna mwanasiasa,tena toka chama tawala anahamasisha mashambulizi dhidi ya wageni, na hakuna kiongozi yeyote aliyekanisha, wala vyombo vya ulinzi na usalama havikuhakikishii usalama wako, utapuuzia?
Baadhi ya rafiki zangu tumewasiliana wameniambia haya ninayokuambia, sasa hivi ndio amefika Namanga.Kwahivyo umeona uwasaidie kwa kueneza umbea na porojo? Usalama wao umekuwa kwenye mikono ya nani siku zote hizo, tangia waanze kuishi Kenya? Tofauti kati yako na na wewe ni kwamba upo very idle jombaa, na wao wapo very busy wakijituma na kufanya kazi zao.
Hahaha! 😀 Sawa basi jombaa.Baadhi ya rafiki zangu tumewasiliana wameniambia haya ninayokuambia, sasa hivi ndio amefika Namanga.
Na sisi tuwaondoe wakenya waliopo kwenye sekta mbalimbali hapa Tanzania kama walimu, mahotelia nk, mwisho wa siku atakaepata hasara kubwa ni kenya maana kwao fursa ni adimu na wamekimbilia hapa wameshika ajira zetu nyingi tu ambazo wazawa wanaweza kufanyaMbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
Serikali yenu itakapotoa tamka lenye kuwahakikishia usalama, watarudi. Ila hiyo ni dalili mbaya sana.Hahaha! 😀 Sawa basi jombaa.
Km ingelikuwa mnatupa bure sawa..lkn tunanua..mbna poa tu...Utawajua wenzangu, jaribuni kuwasha moto muone kitakachowakuta. Kwanza tunaanza kuzuia chakula kuingia Kenya.
Wapiga dili wote makwao...Na sisi tuwaondoe wakenya waliopo kwenye sekta mbalimbali hapa Tanzania kama walimu, mahotelia nk, mwisho wa siku atakaepata hasara kubwa ni kenya maana kwao fursa ni adimu na wamekimbilia hapa wameshika ajira zetu nyingi tu ambazo wazawa wanaweza kufanya
Hapa umeua bro..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jina lingine la taarifa zisizo rasmi ni umbea. Umbea ni haramu kwa wanaume.
Twendeni na yutubeWakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
Inawezekana habari yenyewe hata haijui anaropoka tu huyu, achana nayeUnaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?
Hapa juzi juzi alikuwa kwenye kipindi cha 360 cha clouds, kumbe walimwalika mchawiYule mwehu '' Ana hamasisha chuki dhidi ya Mataifa hays mawili ambayo Yana muda mrefu sasa tangu yaamue kuwa na Ushirikiano kama ndugu ---
Yule ni moja ya viongozi wa ajabu kabisa ambao nimepata kuwashuhudia
Mbona tunasikia huku kwetu biashara zinafungwa kila uchao na wawekezaji wanatukimbia?Huyo hajui impact ya hayo anayotaka kuyafanya,hajui kuwa kuna investors wengi sana wa ki kenya wako huku na wana mitaji mikubwa sana!wajaribu kufanya hayo wanayofanya halafu wasikie kilio kitakachofuata...
Mara kibao tu alikuwa anakuja tz -- na ana pewa support kubwa tu ... Mara hii amesahau fadhila zoteHapa juzi juzi alikuwa kwenye kipindi cha 360 cha clouds, kumbe walimwalika mchawi