Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha wakishikiwa akili na "Musician" aliyefeli shauri yao!Huku kwetu Mbezi wamejazana kinoma, nilikuwa nawazoom tu maana tunazifahamu mpaka gari zao
Na hii mikenya iliyo jazana hapa Arusha unaiongeleaje? Tutawafukuza kwa vipigo maninaNawaunga mkono 100%. Mi-chagga imejazana kule Nairobi utadhani umeingia Moshi?? Wang'oeni waende kwao uchaggai wakale ndisi choma
Mbna wakenya hili swala hata wamelipuuza...kisa wameona halina mshiko...Na kunisononesha sana, ni bora angezungumza vile mtu wa kawaida tu pengine tungesema mihadarati imemzidi nguvu. Lakini kiongozi! Tena unahutubia pahala penye mkusanyiko!? Kwamba anadhani yeye au wakenya wao wana umaalumu gani!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mbunge tu kusema mkaona itakuwa...jamani?ule mbna ni mtazamo wake tuJune 25, 2019
Dodoma, Tanzania
Bunge la Tanzania lajadili kauli ya mbunge 'Jaguar' wa Kenya na kufikia azimio
Bunge la Tanzania limeijadilia kauli iliyotolewa na mbunge Charles Njagua Kanyi wa Kenya aliyesema raia wa Kenya watawapiga na kuwafukuza wananchi na wafanyabiashara wasio wa nchi hiyo wanaoishi na kufanya biashara nchini Kenya. Bunge limefikia azimio. Tazama
Source : Azam TV
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mbunge tu kusema mkaona itakuwa...jamani?ule mbna ni mtazamo wake tu
Wakenya hawaburuzwi na vitu vya kijinga jinga km hvi...labda kuhusu kura tu...Uchaguzi mdogo 29 April 2017
Wapiga kura wake wakiambiwa chochote wanaweza kufanya. Hivyo kauli yake isichukuliwe kwa wepesi.
Angalia video hii Jaguar alia machozi na machizi wake wa jimbo la uchaguzi la Starehe Nairobi Kenya
Chama cha Jubilee kinaendelea kuwahoji wagombea mbalimbali walioathirika kwa njia moja au nyingine na uchaguzi wa mchujo wa chama hicho. Miongoni mwa waliofika katika majopo maalum yanayochunguza matukio hayo ni mbunge wa Starehe Maina na mpinzani wake Jaguar
Naona hapo unaomba wenzako watimuliwe ndio dua lako litimie..Hapa Tanzania wakenya wamo ktk kilimo,elimu,usafirishaji(hasa akina Dalbit,signon nk),hoteli na hata real estates
,tukiamua tunawatimua wote.