Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Waanze tu mimi ntaanza na wakenya ninao wafahamu hapa Arusha, naomba muanze hilo zoezi mara moja nyang'au nyinyi
 
Nawaunga mkono 100%. Mi-chagga imejazana kule Nairobi utadhani umeingia Moshi?? Wang'oeni waende kwao uchaggai wakale ndisi choma
 
Huyu Jaguar yani siku akikanyaga Tanzania tumlaze kidogo Segera au keko maana hana adabu.
 
Nawaunga mkono 100%. Mi-chagga imejazana kule Nairobi utadhani umeingia Moshi?? Wang'oeni waende kwao uchaggai wakale ndisi choma
Na hii mikenya iliyo jazana hapa Arusha unaiongeleaje? Tutawafukuza kwa vipigo manina
 
Na kunisononesha sana, ni bora angezungumza vile mtu wa kawaida tu pengine tungesema mihadarati imemzidi nguvu. Lakini kiongozi! Tena unahutubia pahala penye mkusanyiko!? Kwamba anadhani yeye au wakenya wao wana umaalumu gani!?
Mbna wakenya hili swala hata wamelipuuza...kisa wameona halina mshiko...

Lkn nynyi mnavyopenda kupiga domo..so kila jambo lazima mtalivalia njuga
 
June 25, 2019
Dodoma, Tanzania
Bunge la Tanzania lajadili kauli ya mbunge 'Jaguar' wa Kenya na kufikia azimio

Bunge la Tanzania limeijadilia kauli iliyotolewa na mbunge Charles Njagua Kanyi wa Kenya aliyesema raia wa Kenya watawapiga na kuwafukuza wananchi na wafanyabiashara wasio wa nchi hiyo wanaoishi na kufanya biashara nchini Kenya. Bunge limefikia azimio. Tazama

Source : Azam TV
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mbunge tu kusema mkaona itakuwa...jamani?ule mbna ni mtazamo wake tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mbunge tu kusema mkaona itakuwa...jamani?ule mbna ni mtazamo wake tu

Uchaguzi mdogo 29 April 2017
Wapiga kura wake wakiambiwa chochote wanaweza kufanya. Hivyo kauli yake isichukuliwe kwa wepesi.

Angalia video hii Jaguar alia machozi na machizi wake wa jimbo la uchaguzi la Starehe Nairobi Kenya

Chama cha Jubilee kinaendelea kuwahoji wagombea mbalimbali walioathirika kwa njia moja au nyingine na uchaguzi wa mchujo wa chama hicho. Miongoni mwa waliofika katika majopo maalum yanayochunguza matukio hayo ni mbunge wa Starehe Maina na mpinzani wake Jaguar
 
Hapa Tanzania wakenya wamo ktk kilimo,elimu,usafirishaji,mahoteli na hata katika real estates,tukiamua tunawatimua wote ng'wanawane.
 
10 Oct 2017
Mbunge Jaguar apigana makonde na mbunge Babu Owino
Msanii maarufu nchini Kenya ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Starehe nchini Kenya wametofautina na mbunge mwenziye wa jimbo la Embakasi Mashariki; Babu Owino na kupelekea kuzichapa bungeni mapema leo.
 
Mbona huku kwetu wakenya wapo tu na wanapiga mishe haukuna anewabughuzi, itabid na sisi tuuwashe Moto kwa wakenya waliopo tz, maana dawa ya Moto ni moto
 
Uchaguzi mdogo 29 April 2017
Wapiga kura wake wakiambiwa chochote wanaweza kufanya. Hivyo kauli yake isichukuliwe kwa wepesi.

Angalia video hii Jaguar alia machozi na machizi wake wa jimbo la uchaguzi la Starehe Nairobi Kenya

Chama cha Jubilee kinaendelea kuwahoji wagombea mbalimbali walioathirika kwa njia moja au nyingine na uchaguzi wa mchujo wa chama hicho. Miongoni mwa waliofika katika majopo maalum yanayochunguza matukio hayo ni mbunge wa Starehe Maina na mpinzani wake Jaguar
Wakenya hawaburuzwi na vitu vya kijinga jinga km hvi...labda kuhusu kura tu...
 
Hapa Tanzania wakenya wamo ktk kilimo,elimu,usafirishaji(hasa akina Dalbit,signon nk),hoteli na hata real estates
,tukiamua tunawatimua wote.
Naona hapo unaomba wenzako watimuliwe ndio dua lako litimie..
 
Back
Top Bottom