Jaji Bomani apigilia msumari Katiba Mpya

Jaji Bomani apigilia msumari Katiba Mpya

Kwa hiyo wewe kwa akili zako, unakataza watu wasitoe mawazo yao? Kama unaogopa mijadala usiende kwenye forums.

Nani kakuambia Judge anawakilisha NeC? Au kwako wewe unataka hata NeC isishauriwe? NEC ndio wamekutuma kwamba hawataki ushauri?

Ikilazimishwa kura kinyume na taratibu, nini mawazo yako tayakuwa?

Tabby Kikatiba kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni/uhuru wa mawazo hili liko wazi kabisa hakuna mtu anayeweza kukukataza kwa Tanzania yetu kama umekatazwa ni wewe mwenyewe lakini sio mimi, jambo la msingi hapa ni nini unasema!
 
Kuna watu wanaheshimika humu acha papara. Jipe muda jifunze ustaarabu na kuangalia watu wanavyobadilishana mawazo hata kupingana mitazamo kwa lugha ya staha

Ole sadimu unachokisema ni kweli kabisa, kwa maoni yangu naona lugha mbaya zinaanzishwa na wahusika wenyewe wanapopishana jambo linalopelekea kutoheshimiana na hatimaye kuanza kutoleana matusi kikubwa hapa ni kuwa makini na kukubali kukosolewa bila kuruhusu matusi humu ndani na kama inatokea basi iwe ni kwa bahati mbaya za kibinadamu.
 
Kuna watu wanaheshimika humu acha papara. Jipe muda jifunze ustaarabu na kuangalia watu wanavyobadilishana mawazo hata kupingana mitazamo kwa lugha ya staha

Yani wewe cjui umeelewaje hapo juu? nimeandika "Ujumbe huo umekuuma sana, kuwa mpole tuuu" sasa hapo tuc liko wapi??? nambie
 
Yani wewe cjui umeelewaje hapo juu? nimeandika "Ujumbe huo umekuuma sana, kuwa mpole tuuu" sasa hapo tuc liko wapi??? nambie

Nisamehe mkuu labda mi ndio sijaelewa lugha yako katika uzi huu!!!!
 
Ole sadimu unachokisema ni kweli kabisa, kwa maoni yangu naona lugha mbaya zinaanzishwa na wahusika wenyewe wanapopishana jambo linalopelekea kutoheshimiana na hatimaye kuanza kutoleana matusi kikubwa hapa ni kuwa makini na kukubali kukosolewa bila kuruhusu matusi humu ndani na kama inatokea basi iwe ni kwa bahati mbaya za kibinadamu.

Sahihi mkuu. ., .
 
huyu bwana mdogo ana matatizo ya kisaikolojia....hajui lolote humu analeta umuchknow,na ni mbishi kufundishika..hawa watoto ni wakuchapwa viboko..

Mkuu wakishapewa smartphone na bundle kutoka pale Lumumba na kuhaidiwa kazi wakimaliza masomo akili zao zinafunga kabisa..
 
Mkuu wakishapewa smartphone na bundle kutoka pale Lumumba na kuhaidiwa kazi wakimaliza masomo akili zao zinafunga kabisa..

njaa mbaya..ila awa ni kwenda nao sambamba...hizo ni ID za msimu....walikuwepo wengi wakasepa...
 
njaa mbaya..ila awa ni kwenda nao sambamba...hizo ni ID za msimu....walikuwepo wengi wakasepa...

Na kwakuwa wanajua wanachukiwa humu huwa hawathubutu kwenda kwenye majukwaa mengine na hizi ID zao.. utawakuta hapahapa siasani tu. Hawa jamaa wana maisha magumu mno
 
Na kwakuwa wanajua wanachukiwa humu huwa hawathubutu kwenda kwenye majukwaa mengine na hizi ID zao.. utawakuta hapahapa siasani tu. Hawa jamaa wana maisha magumu mno

Kaazi mnayo kweli, cwashangai kwakuwa sasa mmeishiwa hoja na kwa maana uwezo wa kujib u hoja mmeshindwa mnabaki kubashiri bashiri tu, poleni sana. hapa ni dozi kwa kwenda mbele.
 
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.

Yaani wewe kwa akili yako unataka kusema kuwa NEC iamue kupeleka watanzania woote njombe wakajiandikishe huko na kabla ya 30April ya akina Kinana na makuwadi wapige kura! Si lazima uende shule ya kujua CCM ni chama laghai kupitiliza! Kina inaishi kiujanja ujanja na HILA na UBABE! Kura ya hapana ndio jibu!

Mpaka sasa huyo WAziri wa Sheria kagawa nakala ngapi za hiyo Katiba ya nyoka wa makengeza kwa wapiga kura???? Unapigia kura kitu ambacho hujawahi lisoma au kiona???
 
Wewe ndo FOOL X 1,000,000 unadhani una hoja za maan unazoweka zaidi ya kubwabwaja kama gari la matangazo, kama umetumwa waambie humu hatuhitaji wachumia tumbo kama wewe. Tuko kujua uzuri wa Katiba pendekezwa na sio kuuza sura kama unakofanya wewe.
Basi mkuu!tulia,ficha aibu yako
 
Ungeweza kutoa maoni yako bila kuquote habari nzima maana kwa watumiaji hata wa simu inawapa shida mkuu
Sio suala la kujaza server ila kama ungekuwa may be unachambua ile habari kwa kuweka msisitizo wako katikati ya habari hapo sawa ungeweza kuquote
Samahani lakini
Hoja yako nini ndugu pamoja na picha ya binamu yako uliyotuwekea. Kwa picha ya mtu huyo inaonekana umetulia ila sina hakika kama unajua unachokifanya kweny JF. Au ndo umeamka bado unatafakari ndoto yako kwa maana hujasema kitu. Kama una hoja karibu twendelee mr. Rocky.
 
We Dingswayo unamaanisha nini kukopi mkeka wote na kuumwaga bila kuujengea hoja. Msumari wa Jaji Bomani uko wapi. Yeye si ametoa speculations zake kuhusu zoezi la Kura ya maoni kwamba linaweza kuchelewa. Haya ni mawazo yanayoweza kutolewa na mtu yeyote huhitaji kuwa Jaji au Mwanasheria mstaafu kusema hayo. Kwanza ningekuwa News Editor hiyo stori nisingeitoa kwani haina kitu kipya. Ila kwa mashabiki ambao hamjali news bali ushabiki ndo maana ukalibeba hilo likipolo lako na kulimwaga kweny JF. Hata hivyo nakushukuru kwa konyesaha kuwa unaweza kucopy na kupaste.
 
Kama umesoma hiyo habari vizuri ni kuwa hayo ni mawazo ya huyo Jaji binafsi na hajasema kwamba yeye ni NEC. Sioni sababu ya kusema kuwa watu wana 'vihelehele' kwa kutoa mawazo yao hasa kuhusu jambo hili muhimu la katiba.

mkuu watu wengi hawajui humuhimu wa katiba,juu ya mstakabali wa maisha yao na vizazi vyao, wanaongozwa na ushabiki wa vyama na itikadi, hawa ni wakusamehe sana maana hawajitambui wala hawajui wanapokwenda na kupelekwa,

waswahili walisema ukitaka umtawale mtu vizuri basi mnyime elimu,watanzania wengi hawana elimu ndicho chanzo kikubwa cha kuburuzwa na watawala,

ni kama mtu anakata tawi wakati yeye mwenyewe amelikalia tawi alikatalo, kwa hiyo hawa washabiki katiba ihi ikipita mkwaju utawapiga ndipo watapata akili,
 
Back
Top Bottom