BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
NEC waamue mara ngapi? Mbona Serikali imeshatangaza kwamba kura ya maoni haitafanyika April 30 na NEC watatangaza tarehe mpya siku za usoni.
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.