Nsubhi
Senior Member
- Jan 27, 2015
- 159
- 51
We nadhani umeishia Chekechea hivyo siwezi kubishana na wewe, maana hujui ukisemacho omba msaada uelimishwe kama hujui. Kumbe majibu unayo kuwa Wananchi plus Viongozi unapata Serikali afu unajifanya hujui.
Naimani umerudi kusoma umeelewa ila mfa maji haishi kutapatapa. Wanaoongoza serikali ndo hivoo.Hutaki andamana. Jioni njema.