Jaji Bomani apigilia msumari Katiba Mpya

Jaji Bomani apigilia msumari Katiba Mpya

Sijakupata kabisa,ingekua haiwezekani watanzania wasingekubali kutoa maoni na wasingevumilia kuona fedha zao zikipotea kwa jambo lisilowezekana, Tanzania sio nchi ya kushindwa kufanya mambo ya msingi, hapa suala la lini na wapi hilo endelea kufuatilia taarifa za serikali kupitia mamlaka husika sote tutafqhamu nini kinqendelea ili wajibu wetu uendelee kubaki palepale.
Pole ndugu kwa taarifa zaidi ... (BOFYA) ila hakuna neno Jera kwenye signature yako i.e. Kama jera ni kuzuri mpeleke mwanao!!!!
 
Pole ndugu kwa taarifa zaidi ... (BOFYA) ila hakuna neno Jera kwenye signature yako i.e. Kama jera ni kuzuri mpeleke mwanao!!!!

Ndugu Kampeleweke, mimi nilishasema! Kuhusu suala la Kura ya maoni, NEC wao ndiyo wasemaji na watendaji wakuu, Watanzania jukumu letu ni kujiandikisha kwa sasa, suala la upigaji kura lipo mikononi mwa watendaji ambao ndiyo NEC! Kama kulingana na mwendo walionao kwenye kuandikisha hwataweza? Wao ndiyo watakaotoa ratiba nini kifanyaike. Kwa hiyo Hongera NEC kusema maana walijitokeza niliwaita nec wa mtaani kuisemea Tume. Baada ya zoezi kuahirishwa rasmi wajibu wetu kama Watanznia wote kwa ujumla tujitoe kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiiga kura na bila kusau kusoma na kuoelewa Katiba Inayopendekezwa
 
Katiba Inayopendekezwa imepata muda mzuri zaidi wa kusomwa. Sasa kazi kwetu w azalendo kuipitia kwa makini bila jazba wala ushabiki na hatimaye kuipigia kura ya Ndiyo
 
Kweli Mkuu. Na walivyokuwa na usongo na JF, itaanza kuuma toka 2006 JF ilipoanza .

Hawa jamaa wataanza na wote wale waliomwita DHAIFU na ukoo wake kuwa ni wezi; wajue tu kuwa kuna wakina SNOWDEN wengi watakaopata fulsa ya kuwaumbua wizi wao huko huko mahakamani!! Transparency International na mashirika mengi ya nchi zilizoendelea zinazosaidia nchi za dunia ya tatu yana hamu sana kuwaumbua viongozi wa Afrika na ndugu zao jinsi wanavyoibia nchi zao!! Hopefully hawa wezi wanalijua hilo!!! Usishangae baada ya October dossier ya Dhaifu ikaanikwa mitandaoni huko ambako watashindwa kuithibiti!!!
 
Bandiko lako linadhihilisha UTUPU wako!!

Mnajibizana nini hapa? acheni malumbano hoja ni kuweka msingi wa mazungumzo ndani humu yenye tija kwa wasomaji na wapate watu uelewa mpana zaidi wa mambo ya nchi yetu. Mmeacha kujadili masuala ya kitaifa mnajadili hali zenu. Acheni hiyo tabia mimi binafsi sijaipenda
 
Sina muda wa kujibishana na wewe MTUPU; ungekuwa na hoja usigetumia matusi !!!
Vipi Ndinani naona umeishiwa hoja asubuhi hadi unakata tamaa. Basi tumia muda huo kusoma katiba inayopendekezwa. Kwa uzuri uliomo ndani ya katiba hiyo tension zako zitaondoka. Jitahidi tena leo ni Ijumaa Kuu unaweza kupata muda wa kutosha ukasoma kwa kituo.
 
Nimeisoma hiyo katiba pendekezwa na sikubaliani na mabo yake mengi likiwamo la wabunge kutokuwa na ukomo!! Hili wamelifuta kama walivyopendekeza wananchi ili kuhakikisha watoto wao walioingia bungeni hivi karibuni nao wakae kama walivyodumu baba zao kwenye ufalme huo wa kibunge!!! Pia suala la kumshitaki Rais kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani ni suala la msingi ambalo litakomesha ufisadi unaendelezwa na watawala wetu wakiwa madarakani. Hizo ni baadhi ya sababu za kuikataa katiba pendekezwa.
 
Ndugu yangu naona hizo Ibara umezisoma juu juu tu, nakushauri ukazisome tena na tena uapate kuzielewa.
 
Ndugu yangu naona hizo Ibara umezisoma juu juu tu, nakushauri ukazisome tena na tena uapate kuzielewa.

Wewe kama umezielewa tofauti na mimi weka tafsiri ya hiyo katiba iliyopendekezwa juu ya hayo niliyoyaeleza; ukomo wa ubunge na impeachment ya Rais!!
 
Akili yake ina shida kubwa... anasema kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa, sasa sijui wamepanga nini??

Wewew kama hujui nchi yako inakwenda wapi sio mtanzania unadandia tu, mwananchi makini lazima asome alama za nyakati na kujua taifa lake liko wakati gani sio unabaki kushangaa kusubiria taarifa za Mtaani uziamiani.
 
U are rooting for my reply since yesterday.. Don't u think you are ignored?? Okay, get it
 
Kama umesoma hiyo habari vizuri ni kuwa hayo ni mawazo ya huyo Jaji binafsi na hajasema kwamba yeye ni NEC. Sioni sababu ya kusema kuwa watu wana 'vihelehele' kwa kutoa mawazo yao hasa kuhusu jambo hili muhimu la katiba.

Hata siyo mawazo yake binafsi huyo inaelekea kalishwa maana uzee umekuwa mwingi kila linalomjia anatamani alitoe tu, ingekwa nchi nyingine angepelekwa makumbusho ya wazee akutulie!!!
 
Bandiko lako linadhihilisha UTUPU wako!!
Hivi wewe unayeona utupu wa wenzako ina maana unawachungulia wakiwa wanaoga! Acha maneno yasiyoeleweka. Soma Katiba Inayopendekezwa ili kichwa chako kiwe na chochote kwani wewe ndo unaonekana huna kitu kichwani hata hujitambui kama jina lako lilivyo kuwa wewe nani kama kibantu changu kiko sahihi. Tuache habari ya kibantu ila ndugu yangu Ndinani wewe mweupe sana kichwani.:canada:
 
Nimeisoma hiyo katiba pendekezwa na sikubaliani na mabo yake mengi likiwamo la wabunge kutokuwa na ukomo!! Hili wamelifuta kama walivyopendekeza wananchi ili kuhakikisha watoto wao walioingia bungeni hivi karibuni nao wakae kama walivyodumu baba zao kwenye ufalme huo wa kibunge!!! Pia suala la kumshitaki Rais kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani ni suala la msingi ambalo litakomesha ufisadi unaendelezwa na watawala wetu wakiwa madarakani. Hizo ni baadhi ya sababu za kuikataa katiba pendekezwa.

Kama hujasimuliwa na mtu basi umejitahidi kupitia baadhi ya vifungu. Lakini kama vifungu vitatu tu ndo unavikataa vilivyobaki maelefu unavikubali kwa simple logic wewe Ndinani ni muumini mkubwa na mzuri wa Katiba Inayopendekezwa ndo maana nakwambia kuwa hujitambui. Hongera sana kwa kuikubali Katiba ambayo ulikuwa unaipinga bila kujua kama unaikubali kuliko hat walioshiriki kuiandika.
 
Back
Top Bottom