OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Ujumbe huo umekuuma sana, kuwa mpole tuuu.
Kwa hiyo wewe kwa akili zako, unakataza watu wasitoe mawazo yao? Kama unaogopa mijadala usiende kwenye forums.
Nani kakuambia Judge anawakilisha NeC? Au kwako wewe unataka hata NeC isishauriwe? NEC ndio wamekutuma kwamba hawataki ushauri?
Ikilazimishwa kura kinyume na taratibu, nini mawazo yako tayakuwa?
Kuna watu wanaheshimika humu acha papara. Jipe muda jifunze ustaarabu na kuangalia watu wanavyobadilishana mawazo hata kupingana mitazamo kwa lugha ya staha
Kuna watu wanaheshimika humu acha papara. Jipe muda jifunze ustaarabu na kuangalia watu wanavyobadilishana mawazo hata kupingana mitazamo kwa lugha ya staha
Yani wewe cjui umeelewaje hapo juu? nimeandika "Ujumbe huo umekuuma sana, kuwa mpole tuuu" sasa hapo tuc liko wapi??? nambie
Ole sadimu unachokisema ni kweli kabisa, kwa maoni yangu naona lugha mbaya zinaanzishwa na wahusika wenyewe wanapopishana jambo linalopelekea kutoheshimiana na hatimaye kuanza kutoleana matusi kikubwa hapa ni kuwa makini na kukubali kukosolewa bila kuruhusu matusi humu ndani na kama inatokea basi iwe ni kwa bahati mbaya za kibinadamu.
huyu bwana mdogo ana matatizo ya kisaikolojia....hajui lolote humu analeta umuchknow,na ni mbishi kufundishika..hawa watoto ni wakuchapwa viboko..
Mkuu wakishapewa smartphone na bundle kutoka pale Lumumba na kuhaidiwa kazi wakimaliza masomo akili zao zinafunga kabisa..
Mkuu wakishapewa smartphone na bundle kutoka pale Lumumba na kuhaidiwa kazi wakimaliza masomo akili zao zinafunga kabisa..
njaa mbaya..ila awa ni kwenda nao sambamba...hizo ni ID za msimu....walikuwepo wengi wakasepa...
Basi elewa hivo.
Nisamehe mkuu labda mi ndio sijaelewa lugha yako katika uzi huu!!!!
njaa mbaya..ila awa ni kwenda nao sambamba...hizo ni ID za msimu....walikuwepo wengi wakasepa...
Wewe una kila dalili ya upimbi wewe...!
Na kwakuwa wanajua wanachukiwa humu huwa hawathubutu kwenda kwenye majukwaa mengine na hizi ID zao.. utawakuta hapahapa siasani tu. Hawa jamaa wana maisha magumu mno
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.
Basi mkuu!tulia,ficha aibu yakoWewe ndo FOOL X 1,000,000 unadhani una hoja za maan unazoweka zaidi ya kubwabwaja kama gari la matangazo, kama umetumwa waambie humu hatuhitaji wachumia tumbo kama wewe. Tuko kujua uzuri wa Katiba pendekezwa na sio kuuza sura kama unakofanya wewe.
Hoja yako nini ndugu pamoja na picha ya binamu yako uliyotuwekea. Kwa picha ya mtu huyo inaonekana umetulia ila sina hakika kama unajua unachokifanya kweny JF. Au ndo umeamka bado unatafakari ndoto yako kwa maana hujasema kitu. Kama una hoja karibu twendelee mr. Rocky.Ungeweza kutoa maoni yako bila kuquote habari nzima maana kwa watumiaji hata wa simu inawapa shida mkuu
Sio suala la kujaza server ila kama ungekuwa may be unachambua ile habari kwa kuweka msisitizo wako katikati ya habari hapo sawa ungeweza kuquote
Samahani lakini
Kama umesoma hiyo habari vizuri ni kuwa hayo ni mawazo ya huyo Jaji binafsi na hajasema kwamba yeye ni NEC. Sioni sababu ya kusema kuwa watu wana 'vihelehele' kwa kutoa mawazo yao hasa kuhusu jambo hili muhimu la katiba.