We nadhani umeishia Chekechea hivyo siwezi kubishana na wewe, maana hujui ukisemacho omba msaada uelimishwe kama hujui. Kumbe majibu unayo kuwa Wananchi plus Viongozi unapata Serikali afu unajifanya hujui.
Ungeweza kutoa maoni yako bila kuquote habari nzima maana kwa watumiaji hata wa simu inawapa shida mkuu
Sio suala la kujaza server ila kama ungekuwa may be unachambua ile habari kwa kuweka msisitizo wako katikati ya habari hapo sawa ungeweza kuquote
Samahani lakini
Soma vizuri uelewe nitanza kuwa na mashaka na uelewa wako. (Wananchi + Viongonzi= Selikari). Wanaoongoza selikari ni wananchi?
Hahaahaha nimeipenda hiyo mkuu, ni vizuri kurekebishana.Marekebisho
Soma vizuri uelewe nitanza kuwa na mashaka na uelewa wako. (Wananchi + Viongonzi= Selikari). Wanaoongoza selikari ni Viongozi nandio nilio waambia.
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.

Mkuu Rocky hapo maneno ya mwisho. Naona umeanza mazoezi ya utekelezaji wa sheria ya troniki. Ahaaaaaaaaaaaa. Safi sana. Samahani lakini.
Kama umesoma hiyo habari vizuri ni kuwa hayo ni mawazo ya huyo Jaji binafsi na hajasema kwamba yeye ni NEC. Sioni sababu ya kusema kuwa watu wana 'vihelehele' kwa kutoa mawazo yao hasa kuhusu jambo hili muhimu la katiba.
Tulia wewe Amophous dawa ikuingie vizuri, mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.
Tulia na uache kuyumbishwa na kutumika jikaze kama mwanadamu HAI.
Mzee kasema Ukweli wa Mungu na huwa DAIMA msema kweli ni MPENZI WA MUNGU, shida ya Vijana wengi wa Buku7 mnatumika vibaya pasipo kujali hatma ya mambo nini?Na unaendeshwa na matukio, usipende KABURI LAKO LIKAJA CHAPWA NA VIZAZI VYAKO VIJAVYO KWA KUDAI BABA AU BABU AU MAMA AU BIBI alikuwa MBULULA na hakufanya ya MSINGI na YAKUKUKMBUKWA.
Ehe yamekuwa hayo tena? Yaani watu wasitoe hata maoni sasa eti kwa kuwa tume ya uchaguzi ndiyo yenye jukumu la kuamua? Tume itaamua sawa, lakini sisi kama raia wa nchi hii tutaendelea kutoa maoni kwa kadri tunavyoona mambo yanakwenda. Usijaribu kufunga watu midomo kwa kisingizio chochote kile.
Tume imeshaamua Tiba unasemaje? Hapo ulionekana unaongea mambo usiyojua na kuleta porojo!
Mkuu Rocky hapo maneno ya mwisho. Naona umeanza mazoezi ya utekelezaji wa sheria ya troniki. Ahaaaaaaaaaaaa. Safi sana. Samahani lakini.
Kweli Mkuu. Na walivyokuwa na usongo na JF, itaanza kuuma toka 2006 JF ilipoanza .
join date ni 31st march tumpe angalau wiki atajifunza, ila ukimsoma vizuri utagundua huyu ni mmoja wa wale wenye account nyingi kwa kazi maalum.
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.
Haikuwa na haja ya kuquote taarifa nzima na unaandika mistari miwili tuu RAPTOR 22
usibishane na huyu kanywa maji ya bendera ya ccmBasi elewa hivo.
Join Date : 31st March 2015
Posts : 60
Rep Power : 313
Likes Received5
Likes Given23