PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyie mnaouwa watu wakiongea yasiyowafurahisha tuwaweke kwenye kundi gani?

Futseke zako!!
Una ushahidi kuwa Mimi nimeshiriki kuua watu?
Kama wewe unanitungia Mimi uongo, Kuna shida Gani serikali na polisi wakitunga uongo na kukufunga jela bila kosa.
WAPUMBAVU Kama wewe mkipata madaraka mtaua na kuwatungia kesi za uongo watu wanaopinga mawazo yenu.Wanafiki wakubwa.
 
Hakuna tume huru hapa. Kwanza ajenda zao zote zimekaa kimaelekezo zaidi. Na hazina nia ya dhati ya kuondokana na haya matatizo.

Imagine wanaangalia madhara yaliyojitokeza kiuchumi na kijamii! Lakini huoni wakiongelea kuchunguza idadi kamili ya vifo na majeruhi! Huu ni upumbavu.
 
Hakuna cha maana kwenye hii time. Ni kupotezeana muda tu
 
Wanaeenda kuongea naye ni nani hasa?

Wanaitwa tume ya maridhiano, wanaeridhiana naye ni nani, wamefarakana naye nini?

Msiwape air time humu, hawa ni ccm, haya wakayaongee huko kimwaga au ofisi zao za chama chao cha majambazi.

JF imefungiwa na hawa hawa ccm, unapata wapi uthubutu kuleta habari za ccm humu?

Nchi haijafanya uchaguzi, hatuna rais hatuna uongozi.

Mnawasikilizaje ma ccm?
 
Upuuzi tu. Hakuna tume hapo. Ninyi endelea kucheza na akili zetu. Nawaambia kabisa dharau mnazoendelea kutuonesha ipo siku zitawarudia tu.
 
Eti "Tume huru" ina uhuru gani hiyo tume?

Wajinga sana hao kwanaza sijui nani anaamini majibu watakayokuja nayo
 
Msiwe mnaleta mambo ya ccm humu, nchi hatujafanya uchaguzi, hatuna raia hizi time za ccm muwe mnaweka huko kwenye ma grouo ya ccm sio humu, kwani magroup yenu yamejaa?

Kwanini mna jafili vitu haram?

Waacheni msiwape legitimacy ambayo hawana mbuzi hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…