Hizi hadidu za rejea (Terms of Reference) ni very irrelevant na very shallow. Huyu alikuaje Judge??Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo.
1. Kuchunguza na kubaini chanzo halisi cha matukio wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi
2. Kuchunguza lengo lililokusudiwa na wale ambao tutaona walikuwa wamepanga na kutekeleza vitendo hivyo yaani lengo lao.
3. Kuchunguza na kubainisha madhara yaliyojitokeza ikiwemo vifo majeruhi uharibifu wa mali na madhara ya kiuchumi na kijamii
4. Kuchunguza mazingira na hatua mbalimbali zilizochukuiliwa na serikali na vyombo vyake na mtu yeyote mwingine.
5. Kupendekeza maeneo yanayohitaji kuimarishwa zaidi ili kuongeza uwajibikaji wa viongoz na raia kwenye kulinda amani ya nchi yetu, utawala bora, haki za binadamu, utawala wa sheria hadi kufikia maridhiano ya kitaifa.
6. Kuchunguza jambo lolote ambalo tume itaona ni muhimu na litaendana na majukumu ya tume
Jibu ni CCM, hilo nalo linatkiwa kuchunguzwa au ni kula kodi tu bila sababu za msingi?Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo.
1. Kuchunguza na kubaini chanzo halisi cha matukio wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi
2. Kuchunguza lengo lililokusudiwa na wale ambao tutaona walikuwa wamepanga na kutekeleza vitendo hivyo yaani lengo lao.
3. Kuchunguza na kubainisha madhara yaliyojitokeza ikiwemo vifo majeruhi uharibifu wa mali na madhara ya kiuchumi na kijamii
4. Kuchunguza mazingira na hatua mbalimbali zilizochukuiliwa na serikali na vyombo vyake na mtu yeyote mwingine.
5. Kupendekeza maeneo yanayohitaji kuimarishwa zaidi ili kuongeza uwajibikaji wa viongoz na raia kwenye kulinda amani ya nchi yetu, utawala bora, haki za binadamu, utawala wa sheria hadi kufikia maridhiano ya kitaifa.
6. Kuchunguza jambo lolote ambalo tume itaona ni muhimu na litaendana na majukumu ya tume
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Halafu main suspect ndie alieunda hiyo tumeJina tu lenyewe la tume linatia kichefu chefu.
Eti "Tume ya kuchunguza uvunjifu wa amani"
Alaaniwe yeye na kizazi chake chote aliyetoa wazo la kuunda hii tume na hilo jina lake.
Yaani sirikali inatofanyia maigizo as if wameshushwa kutoka sayari ya Mars oct 30 ,yaani hawajui nini kilisababisha maandamano ya Oct 29? Wakuu wa vyombo vya dola na wasaidizi wao hadi ngazi ya nne wapigwe chini.Mpaka sahv nashanga kuwaona IGP,RPCs wako ofisini...
Ova
HATUITAKI HII SERIKALI OVER!Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo.