PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bangi ni mbaya..
Hyo ajenda ya tatu umeisha wataizungumziaje?
 
Acheni utahira ... tume yenyewe imechaguliwa na mtu aliyetoa amri ya mauaji harafu et mnaenda kuchunguza ...... kila siku nasema Mtanzania huyu wa leo siyo yule wa miaka ya nyuma ... na niwaambie tu nyie mtadhalilika muda sio mrefu PUMBAVU ZENU
 
Uwendawazimu mkubwa!! Eti tume ya uvunjifu wa amani, utavunjaje kitu ambacho hakikuwepo? Muda wote wa utawala wa huyu ibilisi, watu wamekuwa wanatekwa, wanauawa, na kupotezwa. Sasa hiyo ni amani?

Hii tume ni ujinga mtupu, haina maslahi yoyote kwa Watanganyika na Taifa kwa ujumla. Hii ni tume iliyotengenezwa na muuaji katika kutapatapa kwake kwa uovu alioufanya.
 
Stupid, stupid and stupid
 
Hii tume ni kuvavayo tupu
 
rubish
 
hivi hawa viongozi wanatuchukuliaje? wanatuona sisi wapumbavu kiasi gani??
 
Tume inachofanya ni kuongeza chumvi kwenye kidonda ili kipoe kumbe inaongeza maumivu zaidi.
 
Wamuulize juu ya conflict of interest kwa baadhi members wa tume katika visababisha vya madhira ya MO29 hadi Nov4
 
Waliambiwa wakachunguze "kukinukisha", mbona kwenye reference hatuoni?
 
Kama agenda zenyewe ni hizo hii shughuli ni pevu bado!
 
Jibu lao soon watalipata
 
Ukitetea uovu, automatically wewe ni muovu tu. Pumbavu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…