PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizi hadidu za rejea (Terms of Reference) ni very irrelevant na very shallow. Huyu alikuaje Judge??
 
Jibu ni CCM, hilo nalo linatkiwa kuchunguzwa au ni kula kodi tu bila sababu za msingi?
 
Huyu Mzee anazidi kujiongezea dhambi tena zile dhambi mbaya!

 
Huyo mwamedi chande bora angeachana na hoyo tume kulinda heshima yake
 
Hakuna tume hapo huo ni mchezo wa paka na panya .

Uliona wapi muuaji akamchunguza muuaji mwenzake?
 
Kuchunguza "wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi" bila kuchunguza "kabla ya uchaguzi" ni kutafuta kujua ulipoangukia na siyo ulipojikwaa. Hii inaonyesha kuwa tume inakwenda kuchunguza dalili za ugonjwa na siyo sababu za ugonjwa wenyewe.

Hapa tume imeshakosea ramani kabla haijaanza safari.
 
Jina tu lenyewe la tume linatia kichefu chefu.

Eti "Tume ya kuchunguza uvunjifu wa amani"

Alaaniwe yeye na kizazi chake chote aliyetoa wazo la kuunda hii tume na hilo jina lake.
Halafu main suspect ndie alieunda hiyo tume
 
Wamepewa timeframe...au Uchunguzi ni endelevu? Kama timeframe ipo, je Kuna extension ya timeframe kama watakuwa bado hawajamaliza? Kama extension ipo tayari hapo ni changamoto!
 
yule mama tax aliyekuwa waziri wa ulinzi aliyewaingiza waganda watujigijigi nae yumo kwenye tume
 
Upumbavu mtupu na kupotezeana muda ,wamuachie polepole ,waliomuua ben saanane ,chaula,mdude,kipanya,soka wawajibishwe!
 
Mpaka sahv nashanga kuwaona IGP,RPCs wako ofisini...

Ova
Yaani sirikali inatofanyia maigizo as if wameshushwa kutoka sayari ya Mars oct 30 ,yaani hawajui nini kilisababisha maandamano ya Oct 29? Wakuu wa vyombo vya dola na wasaidizi wao hadi ngazi ya nne wapigwe chini.
 
HATUITAKI HII SERIKALI OVER!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…