Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki.
Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'.
Huyu ni mmoja tu katika mashahidi ambao wamekuja mbele ya tume kueleza namna walivyorubuniwa ili kushiriki kwenye ghasia hizo" - Jaji Chande