Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Apr 23, 2026 #21 Halafu eti Dar kuna watu wameandama wakiwa na upinde na mikuki? Yaani huyo mzee anaona watu ni wajinga mno.
Halafu eti Dar kuna watu wameandama wakiwa na upinde na mikuki? Yaani huyo mzee anaona watu ni wajinga mno.
Alfu Lela U lela JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 319 Reaction score 542 Apr 23, 2026 #22 Aliyesema hivi eti ni Jaji,!! Inafikirisha sana kwa kweli.