Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

nilishawahi kufanya kazi na feleshi tangu akiwa mwanza namfahamu na alipokuwa dpp. siku zote amekuwa wa kwanza kuingia ofisini na wa mwisho kutoka. watoto wa hosea mnahangaika sana kumchafua lakini mtaenda kuaibika mmoja baada ya mwingine. mwenzenu wa kwanza huyoo ndio kajiulizu, Mungu kampiga kiboko. bado na wa chini yake.kuna siku hukumu ya Mungu itamfikia tu.
 
haumjui feleshi tatizo. ana kifua sana na kama asingekuwa na kifua hosea hadi leo hii asingekuwepo pale pccb. amini usiamini ni mtu wa ki pekee na ndiye ambaye angeweza kuikomboa hiyo ofisi.
 

Wewe ndg NCH hii huyo mtu wako ndio kasoma peke yake?
 
ofisi hiyo imejengwa na feleshi, masaju an werema walikuwa wanamchukia sana feleshi kwasababu waliona anachukua sifa kuliko wao. wao walikuwa maboss wao lakini feleshi alikuwa anawafunika na ndiye aliyekuwa AG kabisa, walibaki mapambo tu kutafuta escrow. werema amefutika, bado masaju ambaye ndiye watu walioharibu sana ofisi hiyo ambao naye sijui ataondoka lini.
 

Mkuu hao ndio watu tunaotegemea walete mabadiliko kwenye NCH hii mtu anapoteza muda wake kuandika UGORO mleta mada nadhani ndo Feleshi mwenye kaja humu kupima kina cha maji
 
Reactions: Ame
Ww KAFURILA lete MBUZI huku tusherekee, MWIZI tiyari kapigwa roba na wezi wenzie.
 
Reactions: Ame
You're very right, that is TZ government's experience and fashion to recycle garbage.
 
Reactions: Ame
Refer my first post, PCCB ndiye ali complain kuwa yeye ndiye kikwazo. Alafu kusema Rais kasema sijui nini kwani how long did it take mpaka Rais alipotoa hiyo amnesty? Do you want to argue kuwa mashitaka yanapitiwa kwanza na Rais then ndiyo ya proceed? I dont need to be a lawyer to understand those basics. Msipende kutafuta vichaka vya kujificha, Rais mpaka kupata huo upenyo kuna watu kibao walihusika katika ku delay ku deal hao calprits!
 
Hivi wewe ni binadamu au mashine? Rais anapotoa msamaha kuna mtu anaeweza kuhoji au kupinga? Hiyo katiba ya nyumbani kwako na mmeo aisee.

Katiba hiyohiyo ya nyumbani kwangu iliwashitaki hao bangusilo wa EPA?

I repeat when the right does not read left is not easy to lie!

Hiyo katiba inayoruhusu wachache kushitakiwa na wengine kupewa msamaha kabla ya kuhukumiwa na mhimili wa mahakama ni ya nchi gani? Labda ya Tanzania ya leo ambayo Zanzibar si sehemu yake?!
 


Tatizo lenu ni kuwa mtu kama mm ninesha wa map na kila suggestion zenu unfortunately nazichukulia kimaslahi kwani maranyingi mmekuwa watetezi wa watu ambao wamelifikisha taifa letu hapa lilipo!
 

Naunga mkono hoja, nafasi hii inahita mtu mwenye kaliba ya Dr. Feleshi, huwa naskitika sana pale watu wasiomfahamu vizuri huyu jamaa wakimbedha, hakuna mwanasheria muadilifu na mchapa kazi kama huyu jamaa.

Huyu aliyekuwa anafungulia watu kesi feki za U gaidi kwa maelekezo ya Mwigulu na kuishia kuumbuliwa na Mahakama kuu...
Nyie watu mna Masihara sana jaman...
 
Tatizo lenu ni kuwa mtu kama mm ninesha wa map na kila suggestion zenu unfortunately nazichukulia kimaslahi kwani maranyingi mmekuwa watetezi wa watu ambao wamelifikisha taifa letu hapa lilipo!

Dada yangu jambo kama hulijui uliza, haya mambo yako wazi, Feleshi humjui hivyo usimchafue kwa habari za magazetini, hayo mnayoaminishwa yangekuwa kweli asingekaa pale kwa karibu miaka 8, Feleshi kafanya kazi katika mazingira magumu sana baada ya kuonekana ni kizingiti kwa hao wafanya biashara AG, deputy na akina Hossea, hayo mambo yako wazi na tiari kulikuwa na threads humu zikizungumzia hayo, Feleshi hakamati wahalifu bali anapelekewa ili ashitaki kosa lake lilikuwa wapi? Kuhusu UDA muulizeni Hossea faili liko wapi mpaka leo mbona bado halijarudi kwa DPP ili afungue mashtaka upya yakimjumuisha na Kisena?
 
Kama alikuwa wa kwanza kuondoka, alikuwa hamalizi hata dakika kumi ofisini sasa!
 
Unafahamu hati yenyewe ilikuwa imesainiwa na nani?
 
you are not a lawyer that is why you don't understand even simple language my friend.

1. kama pccb ndiye aliye complain, unajua kuwa pale kisutu kesi ile ilikuwa inaendeshwa na nusu mawakili wa serikali na nusu wanasheria wa pccb? walikuwa wanaendesha kwa jopo? na, je, kama hosea akisema dpp ndiye kikwazo wakati yeye hadi leo baada ya kurudishiwa jalada akamilishe upelelezi wa robert kisena hadi leo amekalia jalada unapata picha gani hapo wakati ofisi ya dpp inasubiri akamilishe kuleta vielelezo alivyoficha vya kisena ili kesi ianze upya?

2. kuhusu amnesty,ofisi ya dpp haina uwezo kuanzisha mashitaka yenyewe hadi iletewe mshitakiwa pamoja na ushahidi wake, anayeleta ni polisi au pccb. kwa hiyo, kama mtu yeyote atafanya kosa, halafu polisi hawajamkamata wala pccb hawajamkamata, dpp hana uwezo kufanya lolote. hivyo kama rais ametoa amnesty ina maana polisi hawakuwakamata wale watu, ulitaka dpp aende mtaani kuwakamata? unajua kuwa lawama hapo zilitakiwa ziende kwa polisi/pccb ambao hawakuwakamata wale watu?

3. unaposema kuwa mashitaka yanapitiwa kwanza na rais, unakuwa mbulula, kwasababu dpp anapitia mashitaka kama yataletwa kwake. mashitaka yanaletwa mtu akikamatwa kwa tuhuma akaandikwa maelezo yake na kukusanya evidence hapo ndio wanaleta mtu na jalada lake kwa dpp ili amshitaki mahakamani. kama polisi na pccb hawajafanya hivyo ulitaka dpp apitia mashitaka gani?

4. ukiona mtu hajakamatwa akiwa ametenda kosa, wa kumlaumu ni dpp anayesubiri mtuhumiwa aletwe kwake au polisi/pccb waliopewa mamlaka kukamata wahalifu?

5. tatizo kubwa la watz wanajadili vitu kumbe hawajui mchakato huwa ukoje. mtu kama wewe ni mmojawapo wa watu wanaopotosha jamii wakiamini kuwa wanajua kitu kumbe weupe. jitahidi, ukifanya mchezo hata mtoto wako aliyekuzaa anaweza kukuzidi akili kwasababu you are really empty upstairs.
 

Bora umenisaidia, watu humu kazi yao ni kutukana tu bila hata kuwa na facts.
 

I hope huja panic, siiujui issue ya Kisena dont divert my arguments! And then read your notes careful uone unavyokosa consistency.... Mm nakwambia PCCB boss ndiye anayelalamika wewe unasema DPP hawezi anzisha kesi what is your argument?

Mimi na uliza swali kwani Rais ndiye anayepitia mashitaka ndiyo ya proceed; wewe unarukia matusi bila kuelewa unajitukana mwenyewe kwa argument zako na ku confirm hilo jina kwako mwenyewe. Duuh I am at wrong place sorry I cant carry on!
 
Dada/binti, nenda polepole. nitajibu swali lako. umeuliza whether rais ndiye anayepitia mashitaka ili yaproceed....jibu lake ni siyo, anayepitia mashitaka ili yaproceed ni DPP. lakini kumbuka, dpp hawezi kupitia mashitaka hadi yaletwe kwake na pccb au polisi. vilevile, kesi nzima inajengwa na wapelelezi yaani pccb au polisi katika upelelezi wao kukusanya ushahidi kwasababu kama hakuna ushahidi hata dpp akisema kesi indelee hakuna mafanikio. hivyo, kama pccb wakiamua kumsaiia mtu mwovu kama kisena, watamkamata kweli lakini wataharibu ushahidi wake na kupeleka jalada kwa dpp ili likafie pale. sijui unaelewa(kessy/swai)?
 
Hatimae yamekuwa mkuu, kwa CV yake basi kweli aliandaliwa na ndiye CJ ajaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…