Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu kwenye dunia ya sheria impartiality inabebwa na mazingira, kuna mazingira haiwezekani. Kwa maana hiyo hiyo haiwezi kuwa sifa kuu ya mtu kuwa Jaji, labda useme maamuzi mazuri ni yaliyotolewa bila upendeleo nitakuelewa.Wacha upuuzi, sifa moja kuu ya judge yeyote hapa duniani lazima awe impartial, hatakiwi kupendelea upande wowote, huyo Luvanda kama refarii kujigeuza kocha wa timu nyingine ili iweze kushinda mchezo wake ni wizi kwa taaluma ya sheria.
Jaji kuwa huru kutoa maamuuzi ni matokeo ya mazingira ya kesi husika wala haina uhusiano wa moa kwa moja na sifa ya kuwa Jaji. Inaweza usinielewe sababu hili ni swala a kifilosofia zaidi Mkuu.
Jamaa hapo juu wala sio mpuuzi ni umeshindwa tu kumuelewa alichosema Mkuu.
Hivi unaua tu kuwa namna public imepokea kesi ya Mbowe na mambo yanavyoenda mitandaoni yanaweza kumfanya aji akaona hawezi kutokuwa na upendeleo?, upendeleo unatokana na mambo mengi sana hata huruma tu inatosha kuvuruga maamuzi ya Jaji.
Jambo muhimu kujua ni Mheshimiwa Luvanda ni Jaji wa aina gani, sababu kundi la maaji atakalo angukia lina nafasi kubwa kwenye namna atakavyoshughulikia kesi zilizo mbele yake.
mgongano wa kimaslahi ni msamiati mpana sana ndugu.