shetni JiqweKarma ya kumtukana hayati Magufuli itamtafuna Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shetni JiqweKarma ya kumtukana hayati Magufuli itamtafuna Mbowe
Vuvuzela la chama, SSH, serikali hilo na utopolo wake kama kawa. Jumbe Brown nawe vipi tayari ushaachia wako?
Ninapendekeza serikali, CCM au SSH wapitishe hata ka sheria kadogo ka kuwaramba viboko makalioni (kama hamsa wa ishirini hivi) kila asubuhi:
Kwa hakika hamkatai!
Nimefurahia uwasilishaji wako,safi sana.Uamuzi wa Jaji kujiondoa kwenye Kesi ya Mbowe ni uamuzi wa Busara kubwa na ni strengths nzuri japo laymen wanafikiria ni weakness...
Ndugu ameshatoka mwekeni mwingine.Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.
Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama...
Soma vizuri alewa alafu ndiyo uandike. Tatizo umesoma ujaelewa alafu ukaandikaJaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.
Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama...
Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.Soma vizuri alewa alafu ndiyo uandike. Tatizo umesoma ujaelewa alafu ukaandika
Bado ujajifunza mfano wa gaidi. Somo la gaidi alishalitoa mtu ambaye hakuwa gaidi pale ubaloziniKengeza la gaidi DJ haliwezi kumtisha jaji mpaka akubali kujitoa, gaidi ajiandae kula mvua za kutosha!. 🤣
Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.Ushahidi wa kuwa mbowe ni gaidi uliwekwa wazi? Sheria ikowazi kama huna imani na mwenendo wa hakimu ama jaji unaweza kuomba kubadilishiwa jaji ama haki juu ya kesi yako kwahiyo kufanyaivo imekuwa nongwa?
Ni jajiKwa watu wanaomjua huyu Jaji
Ni nani
Amesoma wapi
Ametokea wapi
Amefanya kazi wapi na wapi kabla ya kuwa jaji
Je ni Jaji wa kimkakati?
Mwenye cv au kumjua
Nakubaliana na hoja zako ila hoja ilikuwa kwamba;
tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Hapana siyo tegemeo la wananchi wote anymore...Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
Swali dogo tu ndugu Ni kwanini aliipa jamuhuri kulekebisha hati ya makosa walioikosea bila jamuhuri kuomba kufanya hivyo? Kama uamuzi ulikuwa Ni kukosa uhaalali wa hati ya mashitaka?. Hapo Ni tayari kaonyesha upendeleo wa waziNafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.
Sasa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Kwa kitendo cha Jaji kuamua kujitoa bila hata tuhuma hizo kuthibitishwa kumewaabisha Majaji wote pamoja na Muhimili kuwa huwa hawatendi haki.
Mbowe alishajua toka awali sana, kwamba kujitoa mhanga hapa ni kujiumiza mwenyewe.Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania, kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Unajibishana na mtu asiyeweza kukuelewa.Swali dogo tu ndugu Ni kwanini aliipa jamuhuri kulekebisha hati ya makosa walioikosea bila jamuhuri kuomba kufanya hivyo? Kama uamuzi ulikuwa Ni kukosa uhaalali wa hati ya mashitaka?. Hapo Ni tayari kaonyesha upendeleo wa wazi
Nafikiri uungwana ni huu kiongozi unapotuhumiwa kwa ubaya wowote ule cha kwanza achia nafasi ulonayo ili watakafanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zako iwe rahisi . Kuendelea kuwepo kwako kwenye ile nafasi unayotuhumiwa itawapa mazingira magumu watu wanaochunguza tuhuma za mtuhumiwa .Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.
Sasa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Kwa kitendo cha Jaji kuamua kujitoa bila hata tuhuma hizo kuthibitishwa kumewaabisha Majaji wote pamoja na Muhimili kuwa huwa hawatendi haki.
Ni kipindi gani hiyo hati ya Mashitaka hufanyiwa marekebisho? Ni baada ya Jaji kugundua mapungufu husika au Jamhuri kuomba kwa Jaji kurekebisha mapungufu hayo?
shukrani Mkuu, ila haitakuwa na sababu kama umeamua kushikilia msimamo wako, bahati mbaya sana msimamo wako sio sahihi sana sasa tutakuwa tunapoteza muda tu Mkuu. Ila ukipata muda jaribu kujifunza Mgongono wa kimaslahi na maadili ya Jaji/Hakimu, kazi za Jaji/Hakimu na wakati gani Jaji/Hakimu anaweza kujitoa kwenye kesi na sababu za kufanya hivyo itakupa mwanga mzuri sana Mkuu, then tutaendelea kupeana elimu.Kama bado unadhani una hoja karibu uwe na amani.
Anapigania tumbo lake na la ndugu zake.Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania, kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.