Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Kwa hiyo wewe unajua Sana sheria kuliko huyo Jaji alieamua kujitoa,usiwe mpimbavu kiasi hichoJaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Huku mnamzungusha mama nchi nzima kurekodi kipindi ili kutangaza utalii..huku mmesema kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ni gaidi...utalii unategemea sana political stability ya nchi husika..Gaid anampigania nan?
zivujishe hapa mkuuTaarifa zote za Jaji Luvanda tunazo, amekanyaga pabaya sana
Ndo shida ya kubambikia kesi watu na hii ni aibu kwa Nchi Sasa nawashauri waende kwa IGP Siro awasaidie kuandika kesi vizuriAibu kubwa kwa Jaji Luvanda na Mahakama..
Maana anasema hati ya mashtaka ni batili..Lakini anawaambia mawakili wa serikali wakaibadilishe..akina Kibatala wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili futa kesi..hataki..
Jaji amekubali kujiondoa kuendesha kesi.
Hatujielewi kwa kifupi. Tunachohubiri na kutaka watu waamini. Ni tofauti na hali tuliyonayo.Huku mnamzungusha mama nchi nzima kurekodi kipindi ili kutangaza utalii..huku mmesema kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ni gaidi...utalii unategemea sana political stability ya nchi husika..
Hakuna kesi hapo wanajitukanisha tu wanaona aibu kuifuta acha waje na sinema nyingine. Hopeless kabisa hawa watu.Ndo shida ya kubambikia kesi watu na hii ni aibu kwa Nchi Sasa nawashauri waende kwa IGP Siro awasaidie kuandika kesi vizuri
Kwa akili hizo hutofanikiwa katika maisha unalaana kabisaKesi iendelee. Mawakili wa mbowe wanasumbua mahakama ili kupiga hela ya wafadhili kwamba wanamtetea mteja wao kibaraka wa wazungu.
Mbowe ndiyo kakosea, wangetumia hizo tuhuma kuonewa huruma hata kama angefungwa, sasa hivi akila miaka 10 atasingizia nini sasa? Maana jaji waliyekuwa wanamlalamikia hayupoJaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
Maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
Kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Jaji hana tatizo kama ni jambo la kurekebishika hatakiwi kufuta shitaka bali kutoa oda ya kurekebisha Mkuu. Athari ya kufuta ni kwamba shitaka halitaweza kurudishwa na Jamhuri/ itasababisha mchakato wa kuanza kumkamata tena na kuzua taharuki zaidi. Sio aibu Jaji kujitoa bali ni ujasiri na heshima. Mawakili wa mshitakiwa wao wanakomaa kutetea maslahi ya mteja wao kuna muda wanajua kabisa wanachoomba mahakama ikifanye sio sahihi ila ndio njia waliyobaki nayo, Jaji ukiingia mkenge unawasaidia kupindisha mambo.Good na aibu kwa Jaji
Sasa imemsaidiaje mwenyekiti wa Maisha wa saccos?Taarifa zote za Jaji Luvanda tunazo, amekanyaga pabaya sana
Very wrong angedismiss case na washitaki wangeweza kufungua upya kesi yao maana sio washitaki walioweka pingamizi na jaji anakubali pingamizi lkn hatoi tuzo kwa upande ulioweka pingamizi, its absurd to professionalism, the good thing watalipwa hapa hapa Mungu hadhihakiwi.sio lazima Mawakili waombe, mahakama ipo pale kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote mbili; yaani mtuhumiwa na hata upande wa Jamuhuri, hivyo Jaji yuko sahihi kabisa kutoa maelekezo kwa upande wa Jamuhuri kwenda kurekebisha hati ya mashitaka hata kama wao hawajaomba.
Wewe akili zako Zina kamasi tuWashenzi sana hawa, hawajui huyo Jaji ataepangiwa hiyo kesi hatokuwa na huruma yeyote, na kwa ushahidi uliopo Jaji akiamua kutenda haki Mbowe anaenda Jail, jinai sio ya kuchezea, kosa dogo tu umenitukana na niko na ushahidi bila huruma ya hakimu unaenda Jail na unalipa faini, wacha wajitekenye watacheka wenyewe baadae, bahati mbaya sana ndo anaichukuwa JK Feleshi mwenyewe asojua kupindisha sheria watafurahi.
Taarifa zote za Jaji Luvanda tunazo, amekanyaga pabaya sana
Ushahidi gani uliopo ambao wewe unauongelea? Ushahudi wenyewe ndiyo huo unalazimishiwa hadi kupelekea hati ya mashitaka kukosewa?Washenzi sana hawa, hawajui huyo Jaji ataepangiwa hiyo kesi hatokuwa na huruma yeyote, na kwa ushahidi uliopo Jaji akiamua kutenda haki Mbowe anaenda Jail, jinai sio ya kuchezea, kosa dogo tu umenitukana na niko na ushahidi bila huruma ya hakimu unaenda Jail na unalipa faini, wacha wajitekenye watacheka wenyewe baadae, bahati mbaya sana ndo anaichukuwa JK Feleshi mwenyewe asojua kupindisha sheria watafurahi.
Dear Moderator , mchangiaji huyu kwa makusudi kabisa anapost kitu kile kile tena na tena ili kuharibu mjadala, tafadhali achukuliwe hatua.Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.