Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Kwa hiyo wewe unajua Sana sheria kuliko huyo Jaji alieamua kujitoa,usiwe mpimbavu kiasi hicho
 
Aibu kubwa kwa Jaji Luvanda na Mahakama..
Maana anasema hati ya mashtaka ni batili..Lakini anawaambia mawakili wa serikali wakaibadilishe..akina Kibatala wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili futa kesi..hataki..
Jaji amekubali kujiondoa kuendesha kesi.
Ndo shida ya kubambikia kesi watu na hii ni aibu kwa Nchi Sasa nawashauri waende kwa IGP Siro awasaidie kuandika kesi vizuri
 
Huku mnamzungusha mama nchi nzima kurekodi kipindi ili kutangaza utalii..huku mmesema kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ni gaidi...utalii unategemea sana political stability ya nchi husika..
Hatujielewi kwa kifupi. Tunachohubiri na kutaka watu waamini. Ni tofauti na hali tuliyonayo.

Watu wa mataifa sio watanzania. Wanajielewa sana. Tisafishe nyumba yetu.
 
Ndo shida ya kubambikia kesi watu na hii ni aibu kwa Nchi Sasa nawashauri waende kwa IGP Siro awasaidie kuandika kesi vizuri
Hakuna kesi hapo wanajitukanisha tu wanaona aibu kuifuta acha waje na sinema nyingine. Hopeless kabisa hawa watu.
 
Huyu Mbowe si alisema yeye haogopi gereza? Mtu asiyeogopa gereza hawezi kuhangaika kama anavyohangaika Mwamba, kwanza hakutakiwa hata kuweka mawakili 300 kumtetea! Au kabadili gia angani akiwa huko gerezani! So sad, akitoka sasa asirudi tena TZ, atuachie amani yetu, mtu wao aliyekuwa anawatumia JK hana mamlaka tena kwa sasa.
 
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
 
Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
Maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
Kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Mbowe ndiyo kakosea, wangetumia hizo tuhuma kuonewa huruma hata kama angefungwa, sasa hivi akila miaka 10 atasingizia nini sasa? Maana jaji waliyekuwa wanamlalamikia hayupo
 
Good na aibu kwa Jaji
Jaji hana tatizo kama ni jambo la kurekebishika hatakiwi kufuta shitaka bali kutoa oda ya kurekebisha Mkuu. Athari ya kufuta ni kwamba shitaka halitaweza kurudishwa na Jamhuri/ itasababisha mchakato wa kuanza kumkamata tena na kuzua taharuki zaidi. Sio aibu Jaji kujitoa bali ni ujasiri na heshima. Mawakili wa mshitakiwa wao wanakomaa kutetea maslahi ya mteja wao kuna muda wanajua kabisa wanachoomba mahakama ikifanye sio sahihi ila ndio njia waliyobaki nayo, Jaji ukiingia mkenge unawasaidia kupindisha mambo.

Usishangae mawakili hao hao kwenye kesi za madai wakakomaa kuwa Jaji hawezi kufuta mashtaka kisa mlalamikaji kakosea kuandika hati ya madai bali anatakiwa kutoa oda tu yakufanya marekebisho mdai arudi tena mahakamani akiwa kakamilika.

Kitu ambacho huku wanakikataa 😂 😂 , haya yote ni mambo ya kwenye fani ya sheria. ndio maana haitoshi kuamini kila anachokisema wakili wa upande wowote kwenye media, jaribu kufahamu sheria nayo inatakajee?.
 
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
 
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
 
sio lazima Mawakili waombe, mahakama ipo pale kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote mbili; yaani mtuhumiwa na hata upande wa Jamuhuri, hivyo Jaji yuko sahihi kabisa kutoa maelekezo kwa upande wa Jamuhuri kwenda kurekebisha hati ya mashitaka hata kama wao hawajaomba.
Very wrong angedismiss case na washitaki wangeweza kufungua upya kesi yao maana sio washitaki walioweka pingamizi na jaji anakubali pingamizi lkn hatoi tuzo kwa upande ulioweka pingamizi, its absurd to professionalism, the good thing watalipwa hapa hapa Mungu hadhihakiwi.
 
Washenzi sana hawa, hawajui huyo Jaji ataepangiwa hiyo kesi hatokuwa na huruma yeyote, na kwa ushahidi uliopo Jaji akiamua kutenda haki Mbowe anaenda Jail, jinai sio ya kuchezea, kosa dogo tu umenitukana na niko na ushahidi bila huruma ya hakimu unaenda Jail na unalipa faini, wacha wajitekenye watacheka wenyewe baadae, bahati mbaya sana ndo anaichukuwa JK Feleshi mwenyewe asojua kupindisha sheria watafurahi.
Wewe akili zako Zina kamasi tu
 
Ushahidi gani uliopo ambao wewe unauongelea? Ushahudi wenyewe ndiyo huo unalazimishiwa hadi kupelekea hati ya mashitaka kukosewa?
 
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
Dear Moderator , mchangiaji huyu kwa makusudi kabisa anapost kitu kile kile tena na tena ili kuharibu mjadala, tafadhali achukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom