Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Mdomo wazi, Nzi kama wote wanaongia na kutoka, kaenda na mavi yake , katuacha tumebaki na mavi yetu majumbani kwetu kama alivyo tuamuru.[emoji1][emoji3][emoji1][emoji3]
Katuachia mama ili awakomeshe magaidi wote.

Kumbe jamaa alikuwa analea migaidi kwa miaka yote 5?
 
Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Unatakiwa uelewe kwamba ikiwa mtuhumiwa hana imani nawe unatakiwa ujitoe kwenye kesi huwezi jua hivi vitu kama wewe ni layman
 
Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.

Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,

Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.

kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.

ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
HERI YAKO WEWE JAJI WA KUZIMU
 
Mtazunguka weee ila bado mpo chini ya ardhi ya Tanzania kataeni majaji wote
 
Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.

Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,

Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.

kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.

ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.

Kila mshitakiwa au mshitaki ana haki yaku kumkataa jaji,hakimu,au wakili,ndio maana halisi ya Justice,huwezi kujua kila kitu
 
Hii haimanishi judge anaingilia mwenendo wa kesi..na anatoa maelekezo nini cha kufanya..ili iweje..hiyo ni kazi ya judge??kwakuwaambia wakairekebishe inamaana anakubali imekosewa..and what does the law say hati inapokosewa..na ombi la kina kibatala lilikuwa ni nini kuhusiana na hati??
Tumekwisha! Awamu ya 5 inaendelea mpaka sasa. Bora tu tusijidanganye kwamba tuko awamu ya 6. Tunaporomoka kwa kasi.
 
Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake.

Jaji Luvanda amesema hati ya mashtaka ni batili amewashauri Mawakili wa serikali wakaibadilishe, Mawakili upande wa utetezi wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili basi futa kesi Jaji akakataa ila amekubali kujiondoa kuendesha kesi.

UPDATE: Jaji Luvanda akubali
Jaji Elinaza Luvanda aliyekuwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi nyenye mashtaka 6 yakiwemo ya ugaidi, amejitoa kusikiliza kesi hiyo, sababu ya kujitoa kwake, ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake kuwa hawana imani na Jaji huyo.

Pia soma >
Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
. "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo
. CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka
Ushindi Mwingine kwa Mbowe. Hii kesi itawatokea puani
 
Hat ya Mashtaka ni Batili

Kumbe kashalitambua hilo. Ndio maama amejiondoa. Wenye akili washaelewa kinachoendelea
 
Hii haimanishi judge anaingilia mwenendo wa kesi..na anatoa maelekezo nini cha kufanya..ili iweje..hiyo ni kazi ya judge??kwakuwaambia wakairekebishe inamaana anakubali imekosewa..and what does the law say hati inapokosewa..na ombi la kina kibatala lilikuwa ni nini kuhusiana na hati??
Mwenyewe kasema Hati ya Mashtaka ni Batili.

wewe unataka kusemaje?
 
Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Halafu huyu Jaji Luanda ni wa siku nyingi sana. Nilifikiri anajielewa Kumbe anaelekea kuwa ni wale wale.... Mwendazake anewaharibu sana...!!
 
Hakuna aibu yoyote hata kwenye sheria na miongozo ya kimahakama inasema hivyo endapo patakuwepo malalamiko yenye uzito hakimu au jaji anawajibika kujitathimini na kuchukua uamuzi wa kujiondoa kutunza heshima yake na yataasisi ya kutafsiri sheria. Matokeo ya kesi hiyo ni yaleyale tu hata akija mtu mwingine kuiendeleza
Mwenyewe kasema Hati ya Mahtaka ni Batili.
 
Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.

Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.

Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!

Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?

Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!
Jaji kakubali Hati ya Mashtaka ina kasoro nyingi!!.. Ilitakiwa afute case!!..Yeye anatuma serikali ikarekebishe makosa ili case iendelee!!
 
Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
sijui huu ujinga itaisha lini. Jamaa anateseka anafilisika kwa sababu ya kuwapigania wajinga. Huu ni wakati wa kuendelea na maisha yake
 
Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.

Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,

Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.

kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.

ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
Wewe ni mshamba huna A B C........... Kuhusu sheria... umeandika mambo mengi ya siasa tupu hakuna kitu... hili la kutokuwa na imani na judge ni jambo la kawida kabisa na majudge wenye akili hujitoa .... ... kwa hiyo mawakili wa mbowe walifanya vyema kuonesha hivyo mapema na wengi mnashangaa kwasababu mmezoea kuwa na majudge wasiojielewa ....
 
Tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Moja ya ushahidi ni kukubali Hati ya Mashtaka ni batili alafu ukaiambia serikali irekebishe ili uendelee na case!!.. Ilitakiwa afute case pale!!
 
Back
Top Bottom