Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Waveja sanaUmeongea ukweli mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waveja sanaUmeongea ukweli mtupu
Uroho wake wa madaraka ndio unamponza kukubali kila aina ya washauri wenye nia tofauti tofauti kuna viongozi wa dini wenye malengo yao mabaya , kuna wanaharakati na majuzi wslisikika wakiwashauri waunde vikosi vya kihaini. Kukubali maushauri msbovu kama hayo kutoka kwa watu hao naye akaingia kingi kwa sababu tuu anatafuta mafaraka kwa njia yoyote iwe halali iwe haramu ndiko kajifikisha mwenyewe hapo apambane na hali yakeMasikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Humtakii mema jaji kwani yeye pamoja na huo muhimili mwingine watabaki uchi wa mnyama!Tuhuma alizozitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Huyu jaji hajawahi kuhukumu kwa haki. Huongozwa na mihemko na maagizo ya kisiasaNimeona baadhi ya majaji na mahakimu wanapokataliwa na washtakiwa huchukua muda " fulani" kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi ya ama kukubali au kukataa
Lakini mh Jaji Luvanda amelipokea ombi la Freeman Mbowe kwa haraka sana kana kwamba alilitarajia
Mungu ni mwema wakati wote!
Jina la Sabaya lilivyokosewa kwenye hati yake ya mashtaka kesi ilifutwa, acheni kulia lia ovyo.Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?
Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...
Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?
Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?
Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...
Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?
Kama ametenda makosa, ndio atafungwa, hiyo ndio stahili ya Gaidi.Najiuliza tu, akija Jaji mwingine akamfunga itakuwaje?
Kimsingi sijakataa kwa Jaji kujitoa ila tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
NA NDIO ANAFUNGWA VIZURI SANA TU BWANA MBOWE, BORA ANGE M BLACKMAIL JAJI KWA KUMWMABIA HANA IMANI NAYE, KISHA AKAMUACHA AAMUE YEYE NA SIO KUMKATAA...............JAJI ASINGEFANYA MAAMUZI MABAYA KWA KUJUA ANAJULIKANA!!!!!!!!Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake.
Jaji Luvanda amesema hati ya mashtaka ni batili amewashauri Mawakili wa serikali wakaibadilishe, Mawakili upande wa utetezi wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili basi futa kesi Jaji akakataa ila amekubali kujiondoa kuendesha kesi.
UPDATE: Jaji Luvanda akubali
Jaji Elinaza Luvanda aliyekuwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi nyenye mashtaka 6 yakiwemo ya ugaidi, amejitoa kusikiliza kesi hiyo, sababu ya kujitoa kwake, ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake kuwa hawana imani na Jaji huyo.
Pia soma >
Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
. "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo
. CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka
CDM NDIO WAMEHARIBU, NA NDIO WALIVYOZOEA KUSEMA ZIKU ZOTEKimsingi sijakataa kwa Jaji kujitoa ila tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.
Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.
Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!
Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?
Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!
Kwani da'Mange anasemaje?Ndio maana lile shetani lingine leo halipo kwani Mungu aliamua kuliadhibu na huyu wa sasa hatobaki salama.