Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Uroho wake wa madaraka ndio unamponza kukubali kila aina ya washauri wenye nia tofauti tofauti kuna viongozi wa dini wenye malengo yao mabaya , kuna wanaharakati na majuzi wslisikika wakiwashauri waunde vikosi vya kihaini. Kukubali maushauri msbovu kama hayo kutoka kwa watu hao naye akaingia kingi kwa sababu tuu anatafuta mafaraka kwa njia yoyote iwe halali iwe haramu ndiko kajifikisha mwenyewe hapo apambane na hali yake
 
Tuhuma alizozitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Humtakii mema jaji kwani yeye pamoja na huo muhimili mwingine watabaki uchi wa mnyama!
 
Nimeona baadhi ya majaji na mahakimu wanapokataliwa na washtakiwa huchukua muda " fulani" kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi ya ama kukubali au kukataa

Lakini mh Jaji Luvanda amelipokea ombi la Freeman Mbowe kwa haraka sana kana kwamba alilitarajia

Mungu ni mwema wakati wote!
Huyu jaji hajawahi kuhukumu kwa haki. Huongozwa na mihemko na maagizo ya kisiasa
 
Kajitoa but the damage has been done. Akija Jaji mwingine ataendelea alipoishia Luvanda

Kama ameshatupilia mbali hoja za ku challenge/contest hati ya mashtaka na kuwapa upande wa serikali nafsi ya kuirekebisha(pamoja na kukiri inamapungufu) Jaji atakayekuja sidhani kama anauwezo wa kukubali maombi ya kuyatupa mashtaka yanayowakabili kina Mbowe kama ilivyokua kwenye maombi yao kwa hoja hiyo ya udhaifu wa charge shit

Wanasheria watatufafanulia zaidi
 
Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?

Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...

Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?
Jina la Sabaya lilivyokosewa kwenye hati yake ya mashtaka kesi ilifutwa, acheni kulia lia ovyo.
 
Yuko sahihi, ni bora kuondoka kuliko kuja kutoa maamuzi yatakayoonekana ni mkakati ulioupanga.....Acha aje mwingine
 
Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?

Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...

Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?

Nadhani jina sahihi ni Jaji wa kuchongwa.
 
Kujitoa ndiyo kutunza heshima yake

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Kimsingi sijakataa kwa Jaji kujitoa ila tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama itapoteza heshima yake mbele ya wananchi.
 
John
Hata Mimi nashangaa tena tunaambiwa hati yamashitaka ni batili na jaji kakubali hilo

Mwanzoni alikua wapi uaharaka huo yukosahihi kama alikubali kuendesha kesi nahati ya kubumba hii inakaaje kitaalamu

Au bahati mbaya zipo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake.

Jaji Luvanda amesema hati ya mashtaka ni batili amewashauri Mawakili wa serikali wakaibadilishe, Mawakili upande wa utetezi wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili basi futa kesi Jaji akakataa ila amekubali kujiondoa kuendesha kesi.


UPDATE: Jaji Luvanda akubali
Jaji Elinaza Luvanda aliyekuwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi nyenye mashtaka 6 yakiwemo ya ugaidi, amejitoa kusikiliza kesi hiyo, sababu ya kujitoa kwake, ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake kuwa hawana imani na Jaji huyo.

Pia soma >
Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
. "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo
. CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka
NA NDIO ANAFUNGWA VIZURI SANA TU BWANA MBOWE, BORA ANGE M BLACKMAIL JAJI KWA KUMWMABIA HANA IMANI NAYE, KISHA AKAMUACHA AAMUE YEYE NA SIO KUMKATAA...............JAJI ASINGEFANYA MAAMUZI MABAYA KWA KUJUA ANAJULIKANA!!!!!!!!


MBOWE KWISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kimsingi sijakataa kwa Jaji kujitoa ila tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
CDM NDIO WAMEHARIBU, NA NDIO WALIVYOZOEA KUSEMA ZIKU ZOTE
 
Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.

Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.

Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!

Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?

Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!

Mbona unakuwa mkali bila sababu...?

Mbona unaamua kuwa mjinga bila sababu...?

Kama Jaji aliyesikiliza shauri hili amekiri kuwa HATI YA MASHTAKA imekosewa na haiko kwa mujibu wa sheria halafu Jaji anaamua kuamua shauri kinyume cha sheria, unataka uthibitisho gani kuwa huyu ana maslahi katika kesi hii...??

Ameshajitoa sasa. Wewe endelea kulia lia mpaka upasuke...
 
Back
Top Bottom