Haya ni Mambo ya kisheria ndugu sio sawa na mawazo yako.Kisheria siyo kila makosa kwenye hati ya mashtaka yanaletea mashtaka yote kufutwa. Kuna makosa yanarekebishwa na kesi inaendelea. Hata wewe ukijaza sehemu fulani vibaya kwenye form, haimaanishi kwamba jambo hilo sasa lifutwe. Mfano ufutwe chuo, ufutwe kazini, ufutiwe mkopo wa elimu n.k. Haki ni kupima uzito wa makosa. Anayepima uzito huo ni Jaji na siyo mwingine.
Kisheria alipaswa aifute hio kesi na kuwachia watuhumiwa. Miongozo ya kesi zote za mahakama kuu na mahakama za Rufani zinaelekeza namna hiyo. Kitendo cha Mhe. Luvanda kukiri kuwa charge sheet ina makosa ilipaswa afafanue kama charge sheet ni curable au ni defective ili kuweka misingi ya haki kwa pande zote.
Kwa kuwa amekiri kuwa charge sheet ni defective it means haiwezi kurekebishika hivyo hivyo alipaswa aamue kwa kumfavor mtuhumiwa.
Attachments
-
ocr-criminal-appeal-no-559-2016-exekiel-kwihuja-appellant-versus-republicrespondent-ruling-hon.pdf490.6 KB · Views: 4
-
CR. APPEAL NO. 68 OF 2017 - SAMWEL LAZARO VS THE REPUBLIC.pdf3.4 MB · Views: 3
-
mayala-njigaileleappe-vs-repubrespo-crim-appe-no490-2015-honluandaja.pdf195.6 KB · Views: 3
-
ISAACK MATHAYO MACHA VS THE REPUBLIC CRIM APPEAL NO 24 OF 2017 HON.MURUKE,J..pdf216.8 KB · Views: 2