Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.

Sasa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.

Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Kwa kitendo cha Jaji kuamua kujitoa bila hata tuhuma hizo kuthibitishwa kumewaabisha Majaji wote pamoja na Muhimili kuwa huwa hawatendi haki.
 
Mbona hata ya Sabaya ilikosewa hadi jina ila mashtaka hayakufuatwa? Acheni kulia lia na kutafuta mbeleko, kesi itaendelea na kama Mbowe alifanya ujinga wowote atafungwa vizuri tu.
Wewe ni JUHA.. kukosea Jina huwezi kulinganisha na kukosea mashtaka.

Tena na kujirudia rudia.

Kama ni hivyo mahakama zetu zitatoa hukumu kwa mambo ambayo hayapo
 
Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
Maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
Kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Huo Muhimili uchafuke mara ngapi?
 
SWALI KUU KUHUSU MWENENDO WA KESI HII YA MBOWE NA WENZIE WATATU
Mheshimiwa Jaji Elinaza Benjamin Luvanda kuna swali zito sana toka kwa Askofu Bagonza anayejiuliza yafuatayo katika kuhakikisha haki inatendeka na kuonekana imetendeka...
Kwa uelewa wangu, hizo kasoro jaji alitakiwa azione kabla ya kuanza kusikiliza kesi. Kama kasoro zinajitokeza wakati wa usikilizaji, then zinakuwa kwa advantage ya mshtakiwa. Ni kweli mwenendo wa kesi hii unafikirisha.
 
Luvanda hovyo kabisa tena Mbowe amechelewa sana kumkataa mwehu yule
 
Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka...
Mkuu we acha tu, watu wanajua kuwa hawa Majaji wengine wako mfukoni mwa dola.
 
Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka...
Chief ! Jaji anaiomba jamhuri ibadilishe hati ya mashitaka ?
 
Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Hafung'wi mtu. Mapambano ya katiba mpya pale pale. Huyo mnayomuita gaidi leo ndio rais wa Tanzania Kesho. Historia imetupa mifano mingi.
 
Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake.
a

Jaji anakubali hati ya mashtaka ni batili.

Jaji mjumbe toka tsis anataka ikarekebishwe kinyume cha utaratibu.

Jaji yupo kazini kwa kazi maalumu. Hayupo asiyejua kuwa yote ni ya kubumba.

Roho mbaya kabisa kuliko za mashetani zilizo jaa udhwalimu na dhuluma za kila hali, za watawala wetu wanadhani hatuzuioni.

"Waaminio wakipiga magoti wakamlilia Mola, hutenda." -- Askofu Shoo.

Hata hili baba wa m mbinguni atatenda.

Inshallah.
 
Mbowe ni mjinga. Alifurahia kifo cha Dkt Magufuli. Na bado mpaka atubu. Alidhani kufa Dkt Magufuli ni kufa kwa serikali. Hili ni fundisho kwa wajinga kama yeye ili vizazi vijavyo viheshimu utu.
Sasa mbona hati ya mashtaka haijaandikwa kuwa Mbowe ameshitakiwa kwa kosa la kufurahia kifo?
 
Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.

Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee....

Kwa hiyo mwenye huruma na Mbowe si Kibatala ila wewe?

Hiiiiii bagosha!
 
Mbowe ni mjinga. Alifurahia kifo cha Dkt Magufuli. Na bado mpaka atubu. Alidhani kufa Dkt Magufuli ni kufa kwa serikali. Hili ni fundisho kwa wajinga kama yeye ili vizazi vijavyo viheshimu utu.
Mbona sisi tunaoona kuwa ni wajinga ni ninyi?

Tuliofurahia jiwe kuondoka tupo wengi tunadunda huku mitaani. Wako wapi kina ben na kina Azory?

Kwa nini waliuawa kina Mawazo? Kwanini walitaka kumwua Lissu?

Kwanini aliwauwa wa kwenye viroba?

Ndugu, jamaa na marafiki zao hao ni sisi. Ulitegemea tumshangilie? Aliyewafanyia hao hayo, hatuna amani naye hapa duniani na hata huko akhera.

Hivi mnatuona je mamburula nyie?
 
Hii haimanishi judge anaingilia mwenendo wa kesi..na anatoa maelekezo nini cha kufanya..ili iweje..hiyo ni kazi ya judge??kwakuwaambia wakairekebishe inamaana anakubali imekosewa..and what does the law say hati inapokosewa..na ombi la kina kibatala lilikuwa ni nini kuhusiana na hati??

Maajabu ya Mussa. No wonder imekuwa ikisemwa jaji ni mwajiriwa tsis. Alikuwa pale kuutekeleza aliyoelekezwa.

Tusitegemee kupata haki kwenye mahakama hizi zinazotumika kama means ku justify the end.
 
Badilisha kiswa ya habari.
Jaji amekataliwa.....hakujiondoa
 
Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.

Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,

Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.

kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.

ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
Very stupid comments. Kajitoa sasa kamrudishe aendelee na kesi ya kubumba. Unaweze kuwaambia mawakili wa sserikali waiombe mahakama imrudishie Luvanda hiyo kesi.
 
Nafahamu kuwa Jaji yeyote anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote ile endapo tu tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli na zitapelekea haki kutokutendeka.
Sasa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Kwa kitendo cha Jaji kuamua kujitoa bila hata tuhuma hizo kuthibitishwa kumewaabisha Majaji wote pamoja na Muhimili kuwa huwa hawatendi haki.
mungu hamtupagi mjawake

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom