Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

Nilidhani utashukuru kwamba mutungi is seeking for alignment and understanding

lakini kumbe wwwe unataka mikutano tu endlessly na bila tija

anyways - all the best
 
Mbona ukimwi upo hamjasimamisha kukimbiza mwenge
 
Usipoweka tangazo halali utakuwa unahamasisha wana jf kuleta taharuki. Likipatikana hilo zuio basi tumchambue huyu Jaji juu ya utendaji kazi wake kulingana na taaluma na kiapo chake.
Kama ndiyo hivyo kuanzia yeye mtungi na wafanyakazi wote wa ofisi yake inabidi wachukue likizo ya bila malipo kwa muda usiyo julikana hadi atakapo luhusu vyama vifanye kazi,maana Kama vyama hazitafanya kazi yoyote hata yeye atakuwa anapokea mshahara wa bule.
 
Huyu mzee atakufa vibaya huyu.
 
Ila ibilisi alietoweshwa alisema hatuna corona
 
Kwani KATIBA ya Nchi haitumiki tena? Au tunataka mjadala gani tena? Katiba inasemaje?
 
Amesimamisha kwani kabla ya Hili zuio, wapi kumefanyika mkutano, kongamano au vikao vya kisiasa?
Seems hakuwepo nchini ama hakuwa anafanya kazi yake kama custodian wa vyama vya siasa.

Hata hivyo, hayo mamlaka ameyapatia wapi???

NB; Hayo maelezo hayakihusu CCM kama chama cha siasa.
 
Amefanya hivyo kwa kutumia kifungu kipi cha sheria ya bunge?
 
Chama kongwe dola cha CCM inahusika pia na katazo hili la msajili wa vyama vingi? Kwa maana CCM nacho kisitishe shughuli za kisiasa mpaka jeshi la polisi litoe tamko.

Je ni rasmi jeshi la usalama kwa maana ya Polisi sasa limechukua hatamu, na kusitisha (suspend) vifungu ktk katiba ya nchi inayohusu siasa ya vyama vingi mpaka litakapotoa mwongozo?

Je nchi ya Tanzania sasa inatawaliwa kijeshi na siyo kwa kufuata katiba na sheria zilizotungwa na kupitishwa na Bunge?
 
Katiba mpya ni ya lazima mfano wa kujiuliza watanzania mchakato wake wa kumpata huyo msajili uko vipi wengi hawajui na nani wa kumuwajibisha akivunja taratibu pia

Na kwanini wakatae mikutano wakati katiba inasema ni ruksa watu kukusanyika?

Hapo pia kabana uhuru wa kutoa maoni means kavunja katiba pia
Makongamano ya Katiba. Ametumia kifungu gani cha sheria?
 
Wamechoka madarakani na vibri pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…