Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

Utetezi wakitoto na kijuha sana.Uwezo wenu umeshaisha ilo liko wazi kwakila mwenye akili timamu.bado kukata roho tu.Hizo hoja unazozitoa hazileti maana kwenye nchi yenye umri wa mtu mzima na bado hali ni hii tuliyonayo.
 
Hua ujaji wanaupataje? kwani katiba inasemaje kuhusiana na maswala la vyama vya siasa kujiusisha na mambo ya siasa?
 
Hii nchi mbona imeshakuwa lawless,msajili hana mamlaka ya kukataza mikutano!

Are we turning into gangstar republic! Really? Haujulikani kama kuna Rais au muigizaji wa filam
 
CCM maji ya shingo wameona kila siku watu wanaandaa makongamano bila kikomo hata PoliCCM wamechoka kuzuia, IGP ameomba poo! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunamuunga mkono maana atatufikisha tunapohitaji kufika, ila sina uhakika kama atazuia ya ccm, labda ya vyama pinzani
CCM ilishajifia hata ikifanya mikutano yake mwaka mzima Haina madhara kwa upinzani.Wananchi wanajua wanataka nini!
 
Acha ujinga! Kwani siasa ina ukomo?
Kunaweza kuwa na kificho cha weledi wa kitanzania na ule uonevu ulioota mizizi miongoni mwa kakikundi kawachache,hawa si wakuwaamini.
 
Mimi kwa hili nitamuunga mkono kama kweli atalitafutia muafaka, lakini kama atakaa kimya basi nitafahamu kwamba anatumika.
Ebu tumpe muda kidogo ili tujue kama kweli atalitafutia muafaka.
Angekuwa nadhamira njema na yadhati,asingeacha hali iliyopokuchukua muda wote, Bila kukemea uonevu namanyanyaso ya wazi kwa wapinzani ila kile kingine kupewa haki zote bila kisingizio chochote.
 
CCM maji ya shingo wameona kila siku watu wanaandaa makongamano bila kikomo hata PoliCCM wamechoka kuzuia, IGP ameomba poo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa kinachofanyika ni kujaribu kubadilisha picha inayoendelea ya vyombo vya usalama kuzuia kwa nguvu mikutano halali ya vyama vya siasa. Picha za magari na polisi kuzingira ofisi za vyama vya siasa, kumbi za mikutano na mpaka makanisani kweli hazipendezi, kama ambavyo Msajili alivyokiri mwenyewe. Sasa wanakuja na hii ya ahadi ya mazungumzo ambayo hayana tarehe (na ukweli ni kuwa wote tunajua matokea yake) ili lengo la kutokuwepo mijadala ya Katiba Mpya litimizwe bila kuweko na hizo picha na taarifa za watu kuwekwa mahabusu kila kukicha. Naona Zitto amekubali lakini sidhani kama walengwa watakubali. Wawaachie tuu wafanye mikutano na makongamano yao bila kuwaingilia.

Amandla...
 
Msajili ameongeza kuwa agizo hilo halikihusu chama cha mapinduzi
 
Enzi za Nyerere ukisikia mtu Ni jaji muangalie Mara tatu. Maana walikua wanakaangwa na kukaangika kwenye vikaango vikaangizi vya Sheria.
Leo hii mtu akiongea kisukuma hadharani kesho utamsikia jaji.
Mtu akimhukumu mzee Rungwe asipike mchele kesho utasikia jaji.
Jaji anatanua kwenye foleni?
Jaji anakula kwa mama ntilie?
 
Hiki kijamaa chenyewe siku zote ni kutishia kuifuta CDM; hakinaga jipya.
 
Jaji wa kwanza kumjua alikuwa Jaji Nyalali - ile Tume ya Nyalali then Jaji Warioba. Miaka hiyo ukisikia neno Jaji aisee ni balaa, mwili unakusisimka.

Sasa hivi tuna majaji maandazi wengi sana hata kuandika hukumu ni matatizo.
 
Jaji wa kwanza kumjua alikuwa Jaji Nyarali, then Jaji Warioba. Miaka hiyo ukisikia neno Jaji aisee ni balaa.

Sasa hivi tuna majaji maandazi wengi sana hata kuandika hukumu ni matatizo.
Majaji maandazi vihiyo!🤣🤣🤣
 
Jaji bingwa wa kulinda maslahi ya Ma-ccm.
 
We Lofa elewa kuwa kuwa, kila haki ina wajibu, na kuna limitations, na hizo limitations zipo za aina 2 , moja ni zile Principle limitations na General limitations,
Hakuna haki ambayo haina mipaka, Principle limitations zinatoka kwenye mazuio ya sheria za nchi e.g Penal code, Economic, wildlife etc, na General ni zile zilizomo ndani ya katiba yenyewe ibara ya 30(2) sasa wahuni kama wewe wa machadema hamsomi katiba vizuri, mnapotosha wanachama wenu bure! hakuna haki isiyo na mipaka, hamuwezi kuamka asubuhi mnaamua lolote kwa kisingizio cha uhuru ovyo nyie
 
Umeokota wapi hayo uliyoyaandika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…