GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuijua 0001 ni lazima kwanza ujue unabii wa kuzaliwa Masihi wa Mungu wa mbinguni uliotolewa miaka 400 kabla 😄
Mkubwa, it's year 1 AD (or as you call it 0001) and 2025 AD. Wewe hiyo AC umeitoa wapi?
 
Wapo watz walijiona miungu watu wakaishia wanakopajua mf mzirankende wa Chato, msiba, ndugai, sabaya n.k aendelee kujiona n everything atakbal mwisho wake
 
chadema huwa hawatumii akili ila mihemko na maguvu, na sometimes unaweza fikiri wanafanya makusudi au wanatumika. na it is very possible wanatumika kwa expense ya raia. kwa sababu, haiji akilini edison kilatu na mawakili mpo hapo, halafu anakuja mtu anasema hamidu mwanga aliwahi kuwa tume ya uchaguzi zanzibar; edson kilatu alikuwa mwaka mmoja nyuma ya hamidu mwanga pale udsm sheria, na mawakili wote wanajua hamidu kabla hajaenda tume ya uchaguzi hapa bongo alikuwa wakili wa serikali pale kwa DPP, kaendesha kesi kibao. unakuja leo unasema hamidu alikuwa zanzibar, hata research kidogo tu kuuliza mawakili wenzenu kwenye jopo hilohilo waliosoma naye na wengine wapo hadi kwenye magroup, majaji hao wengi tupo nao whatsapp huko mwanasheria yeyote akiteuliwa tunajua ametoka wapi na alikuwa wapi, tunao. kweli leo mtu aibuke kusema hamidu mwanga, huyo mpare wa same alikuwa zanzibar? really?
 
Mi naamini miongoni mwa watu ambao ni wafungwa/watumwa japo wanaendesha kesi ni majjajji na mahhakimu wanaosubiria uteuzi kuwa majjaji.
Tunakoelekea inabidi watu tuwe tunamalizana uraiani kwani kwenda mahakamani ni uharibifu wa mali.
 
Huyu kidampa kutoka Zanzibar anatakiwa kubaki kwenye rekodi ili siku tukianza kuwashughulikia kisheria wahuni waliopindisha misingi ya haki na sheria kusiwepo lawama.
 

15 April 2026
Dodoma, Tanzania

TANZANIA COURT OF APPEAL LIFTS BAN HANDED BY THE LOWER COURT ON CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=w8PmJ1MVpmcThe Court of Appeal of Tanzania has set aside a High Court of Tanzania order that barred the major opposition party CHADEMA from engaging in political activities

The centre-right party CHADEMA had taken its battle against a sweeping political ban to the highest court in the country, challenging a controversial injunction imposed by the High court of Tanzania controversial Judge Hamidu Mwanga

CHADEMA previously requested Judge Mwanga to recuse himself, citing his background as a former electoral commissioner for both the Zanzibar electoral Commission ZEC and and the National Electoral Commission NEC. The case has in the lower court been marred by allegations of judicial bias.

High Court Judge Hamidu Mwanga had issued an interim ruling in case number 8323 of 2025 filed by Saidi Issa Mohamed and two others, ordering CHADEMA to suspended all it's political undertakings countrywide until he issued a ruling on the ongoing main case. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…