GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa kuwa hakuna sababu za msingi zilizowasilishwa.

Akisoma uamuzi wa Mahakama, Jaji Mwanga amekataa hoja zote zilizowasilishwa na CHADEMA zikitaka ajitoe kwenye kesi hiyo.

Katika hoja ya kwanza, kuhusu uamuzi uliotolewa Juni 10, 2025 wa kuweka zuio la muda kwa CHADEMA kufanya shughuli za kiutendaji (siasa), jambo ambalo CHADEMA walipinga, Jaji amesema kuwa uamuzi wa Jaji katika shauri hauwezi kuwa sababu ya kumlazimu kujitoa. Ameeleza kuwa upo utaratibu mwingine wa kisheria iwapo kuna kutokubaliana na uamuzi wa Mahakama.

Kuhusu hoja inayomhusu Wakili Edison Kiratu, ambaye alidaiwa kuandika barua kwa niaba ya mmoja wa walalamikaji katika kesi hiyo ili ajitoe, pamoja na madai kuwa hakupata nafasi ya kusikilizwa na kwamba Jaji alitoa haki kwa upande mmoja, Jaji amesema kuwa hoja hiyo haina mashiko. Ameeleza kuwa Wakili Kiratu hajawahi kufika Mahakamani na hayupo kwenye rekodi za Mahakama katika shauri hilo. Aidha, ameongeza kuwa inaonekana alileta nyaraka na ‘kuziacha’ Mahakamani kisha kutoweka, jambo ambalo amesema halikubaliki kisheria.

Katika hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA, ambayo ilidai kuwa Jaji Mwanga aliwahi kuwa mtendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC, ambayo sasa ni INEC), hivyo hawezi kutoa uamuzi kutokana na rekodi za karibuni kati ya CHADEMA na Tume hiyo, Jaji amekataa hoja hiyo akieleza kuwa hilo haliwezi kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa. Amesema kuwa NEC si sehemu ya shauri lililopo Mahakamani, na kwamba historia ya ajira katika Tume hiyo haiwezi kutumika kama msingi wa kujitoa kwake katika kesi hiyo.

Aidha, kuhusu hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA kwamba wamewasilisha malalamiko dhidi ya Jaji huyo kwenye Tume ya Maadili kutokana na mienendo yake katika shauri hilo, Jaji amesema kuwa hajapokea taarifa yoyote kuhusu malalamiko hayo, wala hajui kilichoandikwa katika malalamiko hayo. Hivyo, amesema hawezi kujitoa kwa msingi huo.

Mheshimiwa Jaji Hamidu Mwanga amesema kuwa zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya Jaji ajitoe kwenye kesi, ikiwemo kama itabainika ana chuki binafsi na upande wowote katika kesi husika, au ana uhusiano wa karibu na upande wowote kwenye shauri hilo. Hata hivyo, amesema kuwa ingawa Jaji anaweza kuamua kujitoa kwa hiari hata kama hakuna sababu za msingi, yeye binafsi ameamua kutokujitoa katika kesi hii.
Chadomo wameangukia pua. Wanadhani wanaweza kufanya bullying kwa kila mtu na kila taasisi. No Reporn No Errection.
 
Pilato alitaka kujitoa wayahudi wakamtisha “ ukijitoa hautakuwa RAFIKI wa Kaisari”

Ilikuwa mwaka 0001 AC 😂 sasa ni 2025 AC
Hata kwenye haya naona unababaisha tu!
Itakuwaje 0001, badala ya 0030 AD?
 
Mbegese, huwezi kuchagua Jaji unayemtaka kama unachagua maembe sokoni
 
Ndio ukweli.
Sawa.
Mbowe ndiye alimpanga Jaji Mwanga asikilize kesi ya Chadema.

Mbowe ndiye aliyewaambia Chadema wasipeleke mawakili mahakamani hadi kesi ikasikilizwa upande mmoja.

Sioni Chadema hii ikitoboa October election kwasababu ya kumwamini Lissu ambaye aliwekeza zaidi kumwondosha Mbowe na si CCM.
 
Naamini Wanasheria na THINK TANkERS wq CHADEMA wataenda kutafakari na kuja na MPANGO thabiti kabisa..Haki huchelewa tu, lakini itafika
 
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa kuwa hakuna sababu za msingi zilizowasilishwa.

Akisoma uamuzi wa Mahakama, Jaji Mwanga amekataa hoja zote zilizowasilishwa na CHADEMA zikitaka ajitoe kwenye kesi hiyo.

Katika hoja ya kwanza, kuhusu uamuzi uliotolewa Juni 10, 2025 wa kuweka zuio la muda kwa CHADEMA kufanya shughuli za kiutendaji (siasa), jambo ambalo CHADEMA walipinga, Jaji amesema kuwa uamuzi wa Jaji katika shauri hauwezi kuwa sababu ya kumlazimu kujitoa. Ameeleza kuwa upo utaratibu mwingine wa kisheria iwapo kuna kutokubaliana na uamuzi wa Mahakama.

Kuhusu hoja inayomhusu Wakili Edison Kiratu, ambaye alidaiwa kuandika barua kwa niaba ya mmoja wa walalamikaji katika kesi hiyo ili ajitoe, pamoja na madai kuwa hakupata nafasi ya kusikilizwa na kwamba Jaji alitoa haki kwa upande mmoja, Jaji amesema kuwa hoja hiyo haina mashiko. Ameeleza kuwa Wakili Kiratu hajawahi kufika Mahakamani na hayupo kwenye rekodi za Mahakama katika shauri hilo. Aidha, ameongeza kuwa inaonekana alileta nyaraka na ‘kuziacha’ Mahakamani kisha kutoweka, jambo ambalo amesema halikubaliki kisheria.

Katika hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA, ambayo ilidai kuwa Jaji Mwanga aliwahi kuwa mtendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC, ambayo sasa ni INEC), hivyo hawezi kutoa uamuzi kutokana na rekodi za karibuni kati ya CHADEMA na Tume hiyo, Jaji amekataa hoja hiyo akieleza kuwa hilo haliwezi kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa. Amesema kuwa NEC si sehemu ya shauri lililopo Mahakamani, na kwamba historia ya ajira katika Tume hiyo haiwezi kutumika kama msingi wa kujitoa kwake katika kesi hiyo.

Aidha, kuhusu hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA kwamba wamewasilisha malalamiko dhidi ya Jaji huyo kwenye Tume ya Maadili kutokana na mienendo yake katika shauri hilo, Jaji amesema kuwa hajapokea taarifa yoyote kuhusu malalamiko hayo, wala hajui kilichoandikwa katika malalamiko hayo. Hivyo, amesema hawezi kujitoa kwa msingi huo.

Mheshimiwa Jaji Hamidu Mwanga amesema kuwa zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya Jaji ajitoe kwenye kesi, ikiwemo kama itabainika ana chuki binafsi na upande wowote katika kesi husika, au ana uhusiano wa karibu na upande wowote kwenye shauri hilo. Hata hivyo, amesema kuwa ingawa Jaji anaweza kuamua kujitoa kwa hiari hata kama hakuna sababu za msingi, yeye binafsi ameamua kutokujitoa katika kesi hii.
Hakuna kujitoa katika kesi hakuna kukimbia uchaguzi
 
CHADEMA Bara si mkae na wenzenu wa Visiwani muyamalize? Ruzuku yote mle nyie, Rasilimali za Chama mzitumie nyie tu, hata tone tone yote mnakula nyie, HUU NI UUNGWANAA?
 
Hata kwenye haya naona unababaisha tu!
Itakuwaje 0001, badala ya 0030 AD?
Nazungumzia mambo hayo yalianza mwanzoni mwa kalenda

Ningetaka kuweka tarehe ya hukumu ingesomeka 0033 AC 😄✔️🇮🇱
 
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa kuwa hakuna sababu za msingi zilizowasilishwa.

Akisoma uamuzi wa Mahakama, Jaji Mwanga amekataa hoja zote zilizowasilishwa na CHADEMA zikitaka ajitoe kwenye kesi hiyo.

Katika hoja ya kwanza, kuhusu uamuzi uliotolewa Juni 10, 2025 wa kuweka zuio la muda kwa CHADEMA kufanya shughuli za kiutendaji (siasa), jambo ambalo CHADEMA walipinga, Jaji amesema kuwa uamuzi wa Jaji katika shauri hauwezi kuwa sababu ya kumlazimu kujitoa. Ameeleza kuwa upo utaratibu mwingine wa kisheria iwapo kuna kutokubaliana na uamuzi wa Mahakama.

Kuhusu hoja inayomhusu Wakili Edison Kiratu, ambaye alidaiwa kuandika barua kwa niaba ya mmoja wa walalamikaji katika kesi hiyo ili ajitoe, pamoja na madai kuwa hakupata nafasi ya kusikilizwa na kwamba Jaji alitoa haki kwa upande mmoja, Jaji amesema kuwa hoja hiyo haina mashiko. Ameeleza kuwa Wakili Kiratu hajawahi kufika Mahakamani na hayupo kwenye rekodi za Mahakama katika shauri hilo. Aidha, ameongeza kuwa inaonekana alileta nyaraka na ‘kuziacha’ Mahakamani kisha kutoweka, jambo ambalo amesema halikubaliki kisheria.

Katika hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA, ambayo ilidai kuwa Jaji Mwanga aliwahi kuwa mtendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC, ambayo sasa ni INEC), hivyo hawezi kutoa uamuzi kutokana na rekodi za karibuni kati ya CHADEMA na Tume hiyo, Jaji amekataa hoja hiyo akieleza kuwa hilo haliwezi kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa. Amesema kuwa NEC si sehemu ya shauri lililopo Mahakamani, na kwamba historia ya ajira katika Tume hiyo haiwezi kutumika kama msingi wa kujitoa kwake katika kesi hiyo.

Aidha, kuhusu hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA kwamba wamewasilisha malalamiko dhidi ya Jaji huyo kwenye Tume ya Maadili kutokana na mienendo yake katika shauri hilo, Jaji amesema kuwa hajapokea taarifa yoyote kuhusu malalamiko hayo, wala hajui kilichoandikwa katika malalamiko hayo. Hivyo, amesema hawezi kujitoa kwa msingi huo.

Mheshimiwa Jaji Hamidu Mwanga amesema kuwa zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya Jaji ajitoe kwenye kesi, ikiwemo kama itabainika ana chuki binafsi na upande wowote katika kesi husika, au ana uhusiano wa karibu na upande wowote kwenye shauri hilo. Hata hivyo, amesema kuwa ingawa Jaji anaweza kuamua kujitoa kwa hiari hata kama hakuna sababu za msingi, yeye binafsi ameamua kutokujitoa katika kesi hii.

Ameshapakwa matope atafutiwe kazi nyingine tu hataweza kuaminiwa na mtu
 
Sawa.
Mbowe ndiye alimpanga Jaji Mwanga asikilize kesi ya Chadema.

Mbowe ndiye aliyewaambia Chadema wasipeleke mawakili mahakamani hadi kesi ikasikilizwa upande mmoja.

Sioni Chadema hii ikitoboa October election kwasababu ya kumwamini Lissu ambaye aliwekeza zaidi kumwondosha Mbowe na si CCM.
Yaani kwamba kwakuwa cdm hawakupeleka mawakili ndio sababu? Hiyo ni kesi ya kupanga, wangepeleka wasingepeleka bado maamuzi yangekuwa hayo hayo. Mfano halisi ni huyo jaji kugoma kujitoa, hiyo ni dhahiri ni kesi yenye nia ovu. Aliyekuambia cdm isiposhiriki huo uhuni uitwao uchaguzi itasambarika ni nani?
 
Hii habari imenikumbsha mbali sana.
back then.. ndiyo nimeanza maisha ya ghetto,Kuna demu(mtu wa singida) mmoja kitaa nikawa ninafinya kishikaji.
one day nikamfuma eneo la hatari na mshikaji,akaniona nikamuona...nikaziua as if hakuna mbaya..mida flan narudi ghetto yule Malaya huyu hapa.. akaingia moja kwa moja Ngwea.
nikamwambia ajichenge..yule Malaya akasema"huwezi nifukuza hapa kwa kosa dogo kama ili".
zilipita sekunde kadhaa singer chochote baada ya jibu lile.
Naomba mwendelezo
 
Apparently, my initial research has landed into the case of Zablon Pangalameza v. Joachim Kiwaraka [1987] TLR 140. In this case the court held that judicial administration is based on trust, therefore, once a prayer of recusal is made the judicial officer should recuse himself even if there is no founded grounds for recusal. The learned Justices of appeal observed that;

"The safest thing to do for a judicial officer, who finds his integrity questioned by litigants or accused persons before him, is to give the benefit of doubt to his irrational accusers and retire from the case unless it is quite clear from the surrounding circumstances and the history of the case that the accused is employing delaying tactics. Apart from ensuring that justice is seen to be done, he saves himself from unnecessary embarrassment."
 
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa kuwa hakuna sababu za msingi zilizowasilishwa.

Akisoma uamuzi wa Mahakama, Jaji Mwanga amekataa hoja zote zilizowasilishwa na CHADEMA zikitaka ajitoe kwenye kesi hiyo.

Katika hoja ya kwanza, kuhusu uamuzi uliotolewa Juni 10, 2025 wa kuweka zuio la muda kwa CHADEMA kufanya shughuli za kiutendaji (siasa), jambo ambalo CHADEMA walipinga, Jaji amesema kuwa uamuzi wa Jaji katika shauri hauwezi kuwa sababu ya kumlazimu kujitoa. Ameeleza kuwa upo utaratibu mwingine wa kisheria iwapo kuna kutokubaliana na uamuzi wa Mahakama.

Kuhusu hoja inayomhusu Wakili Edison Kiratu, ambaye alidaiwa kuandika barua kwa niaba ya mmoja wa walalamikaji katika kesi hiyo ili ajitoe, pamoja na madai kuwa hakupata nafasi ya kusikilizwa na kwamba Jaji alitoa haki kwa upande mmoja, Jaji amesema kuwa hoja hiyo haina mashiko. Ameeleza kuwa Wakili Kiratu hajawahi kufika Mahakamani na hayupo kwenye rekodi za Mahakama katika shauri hilo. Aidha, ameongeza kuwa inaonekana alileta nyaraka na ‘kuziacha’ Mahakamani kisha kutoweka, jambo ambalo amesema halikubaliki kisheria.

Katika hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA, ambayo ilidai kuwa Jaji Mwanga aliwahi kuwa mtendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC, ambayo sasa ni INEC), hivyo hawezi kutoa uamuzi kutokana na rekodi za karibuni kati ya CHADEMA na Tume hiyo, Jaji amekataa hoja hiyo akieleza kuwa hilo haliwezi kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa. Amesema kuwa NEC si sehemu ya shauri lililopo Mahakamani, na kwamba historia ya ajira katika Tume hiyo haiwezi kutumika kama msingi wa kujitoa kwake katika kesi hiyo.

Aidha, kuhusu hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA kwamba wamewasilisha malalamiko dhidi ya Jaji huyo kwenye Tume ya Maadili kutokana na mienendo yake katika shauri hilo, Jaji amesema kuwa hajapokea taarifa yoyote kuhusu malalamiko hayo, wala hajui kilichoandikwa katika malalamiko hayo. Hivyo, amesema hawezi kujitoa kwa msingi huo.

Mheshimiwa Jaji Hamidu Mwanga amesema kuwa zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya Jaji ajitoe kwenye kesi, ikiwemo kama itabainika ana chuki binafsi na upande wowote katika kesi husika, au ana uhusiano wa karibu na upande wowote kwenye shauri hilo. Hata hivyo, amesema kuwa ingawa Jaji anaweza kuamua kujitoa kwa hiari hata kama hakuna sababu za msingi, yeye binafsi ameamua kutokujitoa katika kesi hii.
Anang'ang'ania kwani yeye ni jaji pekee? Huu ujaji siku hisi wanaupataje. Tuliaminishwa jaji ni mtu mwenye busara
 
Huyo ana maagizo mahsusi toka kwa mamlaka ya uteuzi kuiangamiza Chadema hivyo hawezi kujitoa anaogopa kwenda kinyume na mamlaka ya uteuzi. Hapo Mbowe roho yake kwatuuuu !!
1000046826.jpg
 
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa kuwa hakuna sababu za msingi zilizowasilishwa.

Akisoma uamuzi wa Mahakama, Jaji Mwanga amekataa hoja zote zilizowasilishwa na CHADEMA zikitaka ajitoe kwenye kesi hiyo.

Katika hoja ya kwanza, kuhusu uamuzi uliotolewa Juni 10, 2025 wa kuweka zuio la muda kwa CHADEMA kufanya shughuli za kiutendaji (siasa), jambo ambalo CHADEMA walipinga, Jaji amesema kuwa uamuzi wa Jaji katika shauri hauwezi kuwa sababu ya kumlazimu kujitoa. Ameeleza kuwa upo utaratibu mwingine wa kisheria iwapo kuna kutokubaliana na uamuzi wa Mahakama.

Kuhusu hoja inayomhusu Wakili Edison Kiratu, ambaye alidaiwa kuandika barua kwa niaba ya mmoja wa walalamikaji katika kesi hiyo ili ajitoe, pamoja na madai kuwa hakupata nafasi ya kusikilizwa na kwamba Jaji alitoa haki kwa upande mmoja, Jaji amesema kuwa hoja hiyo haina mashiko. Ameeleza kuwa Wakili Kiratu hajawahi kufika Mahakamani na hayupo kwenye rekodi za Mahakama katika shauri hilo. Aidha, ameongeza kuwa inaonekana alileta nyaraka na ‘kuziacha’ Mahakamani kisha kutoweka, jambo ambalo amesema halikubaliki kisheria.

Katika hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA, ambayo ilidai kuwa Jaji Mwanga aliwahi kuwa mtendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC, ambayo sasa ni INEC), hivyo hawezi kutoa uamuzi kutokana na rekodi za karibuni kati ya CHADEMA na Tume hiyo, Jaji amekataa hoja hiyo akieleza kuwa hilo haliwezi kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa. Amesema kuwa NEC si sehemu ya shauri lililopo Mahakamani, na kwamba historia ya ajira katika Tume hiyo haiwezi kutumika kama msingi wa kujitoa kwake katika kesi hiyo.

Aidha, kuhusu hoja nyingine iliyowasilishwa na CHADEMA kwamba wamewasilisha malalamiko dhidi ya Jaji huyo kwenye Tume ya Maadili kutokana na mienendo yake katika shauri hilo, Jaji amesema kuwa hajapokea taarifa yoyote kuhusu malalamiko hayo, wala hajui kilichoandikwa katika malalamiko hayo. Hivyo, amesema hawezi kujitoa kwa msingi huo.

Mheshimiwa Jaji Hamidu Mwanga amesema kuwa zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya Jaji ajitoe kwenye kesi, ikiwemo kama itabainika ana chuki binafsi na upande wowote katika kesi husika, au ana uhusiano wa karibu na upande wowote kwenye shauri hilo. Hata hivyo, amesema kuwa ingawa Jaji anaweza kuamua kujitoa kwa hiari hata kama hakuna sababu za msingi, yeye binafsi ameamua kutokujitoa katika kesi hii.
Huyu Mwanga pamoja na Mutungi ni majaji MAFALA kuwahi kutokea nchini🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom