GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jaji kitengo maalum huyo!! Hii kesi ipo na baraka zote za Mama yao.

Wanajua kabisa CDM ni chaguo la wananchi kwa hiyo ni lazima shughuli zao za kisiasa zisimame hadi uchaguzi upite.

CCM acheni kutumia mahakama kuhujumu wapinzani wa dhati.
 
Anajua sheria alafu anaivunja kwa maksudi.
Sasa mwache apambane na wanasheria wenzake
Huku mtandaoni tutampa support na itaishia mtandaoni tuh
 
Jaji wa mama
Colabo ya Mama na Mwamba.
1000046826.jpg
 
Chadema hapa wamepata "credit" kisheria, hii itawaweka katika nafasi nzuri ya rufaa baada ya maamuzi ya Jaji huyu.
Maamuzi ya Jaji huyu yatakuwa na "grounds" za ki rufaaa, hapo badae.

Chadema mmefanya "attempt" nzuri kisheria. Endeleeni na shauri hilo. Jipangeni kwa "Objections" kwenye mwendendo, msiache kuonyesha kwamba Jaji yupo "Biased" pale pote mnapopata upenyo wa kufanya hivyo, itawapa faida badae kwenye rufaa.

Siwakubali Chadema ila ni wazi mnaonewa. Kila la kheri kwenu.
 
Yaani haaminiki ila yeye ndio anaamua ajitoe ama la?
Ndio nashangaa nilidhani ilitakiwa jaji mwingine ndio aitolee ruling kumbe huyo huyo ndio anajiamulia? Hii nchi ndio maana tunaangushwa sana kesi za kimataifa maana tumezoea janja janja tu no professionalism.
 
Soon Chaumma ndio itakuwa Chadema

Huu mchezo aliucheza Lyatonga Mrema baada ya kushindwa kuelewana na Marando pale Nccr ndio akainunua TLP

Siasa ni sayansi 😄
Chaumma haiwezi kuwa Chadema. Ila inawezekana kuwa kuna wanachama wa Chadema wanaweza kutimkia Chaumma ili wapate nafasi ya kugombea.

Mbowe hawezi kuhamia Chaumma kwa sababu itasababisha mgongano wa madaraka. Kinachoweza kutokea ni uongozi wa sasa kujiuzulu na hivyo kumpa nafasi ya kugombea uenyekiti. Ila sidhani kama atafanya hivyo maana kuna wanachama wengi wa Chadema watakaomkataa kwa imani kuwa ndie aliyesababisha uongozi ujiuzulu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom