Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.
Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days?
Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.
Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion