Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Hayo mambo ya space mnavyojidanganya hata wakati wa trial within trial baada ya hao watuhumiwa ku retract na ku repudiate confession zao, si huyo jamaa yenu aliluwa anauliza hayo matango pori yake muda mreefu ,mkawa mnashangilia kwenye space kuwa hayatapokelewa kama exhibit, do you remember what happened? Tell your friends to prepare for deffence the prima facie case will be successful made, tell them also to prepare for mitigation
Utajua Kama hujui tarehe 18 pale jaji atakapotangaza kuwa Mbowe et Al hawana kesi ya kujibu! Mark my words na tunza huu ujumbe!
 
Utajua Kama hujui tarehe 18 pale jaji atakapotangaza kuwa Mbowe et Al hawana kesi ya kujibu! Mark my words na tunza huu ujumbe!

Kwamba judge alikataa recantation ya self-incriminating statements za Bwire na commandos wenzake halafu February 18, 2022 aje na no-case-to-answer ruling?

Najua hakuna kisichowezekana chini ya jua, lakini probability ya hiki kutokea ni remote!
 
Mengi kuko ndani ni kibatala kajaza ma irrelevant questions ambayo kimsingi ni matango pori

Naweza kusoma nia ya judge kuruhusu maswali hayo chechefu yasiyokuwa na msingi wowote kisheria , ni kuwaacha wateme nyongo zao maana hawachelewi kuandamana, na baadaye atachuja yenye substance ambayo kimsingi ni machache kwenye rulling yake ya prima facie

Katika hali ya kawaida hakuna maswali ya msingi ya kumuulista shahidi siku 3 mfululizo

Mangi umemaliza okaoni mwaka gani?
 
Kinyume chake ndio sahihi. Msomaji mzuri ni yule anajielimisha mpaka kuhusu author!
Vuga press siyo author mkuu.
Author ni mwandishi wa hilo andiko
Publisher ni mchapaji sawa na printer tofauti yeye anajiongeza kuweka ganda la nje na kugandisha zile karatasi pamoja ili mwishoni tupate kitabu.
 
Vuga press siyo author mkuu.
Author ni mwandishi wa hilo andiko
Publisher ni mchapaji sawa na printer tofauti yeye anajiongeza kuweka ganda la nje na kugandisha zile karatasi pamoja ili mwishoni tupate kitabu.
Hukuelewa, niliposema msomaji mzuri ni yule anatafuta kufahamu mpaka author wa kitabu, sikumaanisha kuwa author ni mchapaji, nilikuwa napanua tu hoja yangu!
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
halafu mbona mbowe sijaona akijitetea kama wale watuhumiwa wengine,niliona akina adamoo,likwenya wakijitetea ila mbowe sijaona nae akiulizwa na kujitetea
 
halafu mbona mbowe sijaona akijitetea kama wale watuhumiwa wengine,niliona akina adamoo,likwenya wakijitetea ila mbowe sijaona nae akiulizwa na kujitetea

..walijitetea wakati wa " kesi ndogo. "

..kwa kizungu kesi ndogo inaitwa trial within a trial.

..sasa katika hiyo kesi ndogo kulikuwa na mambo / ushahidi / vielelezo dhidi ya washtakiwa wengine, siyo Mbowe, ambavyo upande wa utetezi walikuwa wanapinga.

..Mbowe amesema atajitetea na ataita mashahidi 10. Kwa hiyo tuwe na subira tuone utetezi wake utakuwa nini.
 
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.

Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days?

Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.

Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Mkuu wewe ni jaji?Unafikiri anahitaji miaka mingapi?Unajua judgement zinafikiwaje?Kwa kufunga na kuomba?Fahamu kwamba Judge hatoi hukumu kwa kutumia utashi wake bali kwa kutumia utashi wa sheria na utashi wa mahakama.Kila fact itapimwa kwa kutumia vigezo vya utashi wa kisheria kwanza na kisha utashi wa kimahakama na mwisho utashi wa jaji.

Kwa kawaidia ksesi yoyoti inahitaji uthibitisho wa hatia bila shaka yoyote ile(Beyond Reasonale doubts)Haihitaji miaka 10 kuandika hukumu inahitaji muda mfapi tu na facts sahihi kufikia hukumu.

Hata hukumu inapofikiwa ado inapitwa kwa kiwango chako ili kuthibitisha haina utata wa kisheria achilia mbili kujua kama ni uamuzi wa kihaki.Ndio maana jaji hurejelea sheria na kesi mbalimbali za nyuma ili kutoa hukumu yake.Na hata anpokuwa ametoa hukumu haimaanishi kwamba imepita hapana.Ni lazima iandikwe sasa vizuri na kitaalu na kuwekewa fact zote na kisha hupatiwa wote wanaohusika ili waipitie na kisha aada ya kuipitia wanakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa vigezo mbalimbali ambapo mawakili wasomi hupenda kutumia neno(ERRED in LAW) katika kujenga hoja na kuonesha mambo ambayo ya kuzingatia wakati wa kuandaa hukumu.

Kuhusu uamuzi wa kesi ya LEO sio contentiou bali ni uamuzi wa IWAPO washatakiwa wana kesi ya kujibu au la.Kumbuka JAJI anatakiwa kuamua kama wana kesi awape nafasi ya kujitetete na kama hawana kesi ndo atoe hukumu.Huku huandikwa sio tu na jaji bali na mahakama.Jaji ni kama mkuu ila mawakili wa utetzi na mashatraka wote huushirika katika kujenga kesi na hatimaye hukumu kwa kutumia submissions zao wanazopeleka kwa mahakamni ikiwamo ushahidi.Ndio maana umeona kwamba mashahidi wa utetezi waliweza kutumia vielelezo vya mashataka kama sehemu ya vielelezo vyao na pia wanao uwezo kuwaita mashahidi wa mashtaka kama mashahidi wao kama wataona kuna facts ambazo zinafaa kuletwa na watu hao ingawa inategemea na kilichojiri wakati wa cross examination kwani ule ndio ulikuwa wakati wa kujenga hoja.

Kwa ufupi hakuna taofauti ya hukumu ya papo ikwa hapo na hukumu ya mwezi mzima.Cha msingi ni haki itendeke na ionekane kuwa ilitendeka.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom