Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

..

..waliachana na mambo ya submission kwasababu Jaji hataki.

..hukusoma kwamba Jaji aliuliza kwanini utetezi wanataka kufanya oral submission baada ya jamhuri kufunga ushahidi?

..nadhani Jaji anaogopa oral submission ya utetezi itakwenda kufanya uamuzi wake wa kuwadhulumu watuhumiwa kuwa mgumu na kuonekana sio wa haki.
 
Hivi ikifikia hapo kwamba jaji akasema watuhumiwa hawana kesi ya kujibu na mambo yakaishia hapo, ile list ya Kingai and his colleagues itakuwaje? Hadi CP Robert Boaz, bila kumsahau Lieutenant Denis Leo Urio.
 
Hiyo ni dhahiri Jaji amepewa maagizo hiyo kesi aifute!!!
Hakuna kufuta kesi. Naona mna mayumaini makubwa sana. Lazima atawakuta na kesi ya kujibu. Unadhani serikali itakubali iadhirike kirahisi hivyo?!!
 
Kinyume chake ndio sahihi. Msomaji mzuri ni yule anajielimisha mpaka kuhusu author!
 
Kesi ya ugaidi ni vigumu kukutwa nayo kwa jinsi ushahidi ulivyo finyu. Ila kuna yule aliyekamatwa na silaha lazima awe na kesi ya kujibu.
 
kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Hivi huwa unasoma hata vitabu kweli??, Yaan vijimeseji vya whstup ndio unalinganisha na page 1500??.

CCM ina watu wahovyo sana.
 
Kule chamber mnaongea friendly kabisa bila kushindana
 
Huyu dada huwa anakurupuka sana anajifanya mjuaji mno. Page 1400 za hukumu ni chache sana kwa siku mbili labda kwa faida ya wasiojua niwaeleze ili asiwadanganye.

Hukumu inatumia nafasi kubwa kwa maneno machache sana sababu Ina font ya Sans Serif Arial font tofauti na size ya font ni kubwa (12 size) na space kati ya sentence ni kubwa pia space kati ya paragraph ni kubwa.

Sasa hii inafanya page kuwa nyingi sana so mleta mada unaonekana huelewi.
 
Huyo Jaji kawekwa kumfunga FAM.
Tayari ana hukumu yake mfukoni.
 
We jamaa bwana! Ishu ya font ni hisia zako. Mtu kahojiwa siku nne na Kibatala hata waweke font ndogo kiasi gani kuna vitu vingi vimeingia kwenye rekodi kupitia maswali na majibu. Pia sio page za hukumu, ni page zilizorekodi hii hatua ya awali "cross examination"
 
Compromise ya appeal ya Ole na Chairman????
 
Mie ni Wakili ndio maana nimeeleza Sasa ukitaka kubishana endelea na wenzio hiki ndio ninachokisema mie.

Tena hizo alizorekodi kwa maana ya kuandika kwa mkono ndio kabisa maana huwa anaandika kwa mcharazo tu zile main points pamoja Kuna kifaa maalum cha kurekodi siku hizi .
 
Kiongozi NewOrder nimeipenda analysis yako kiasi chake. Nikukumbushe tu kwa upande wa silaha na madawa mashitaka hawajaweza kuthibitisha kukutwa navyo watuhumiwa wakiwa eneo la tukio. Namaanisha hawajafanya forensic investigation ya kubaini kama ilikutwa kwa mtuhumiwa km vile kuchukua finger print kuona kama waliishika hiyo silaha same na madawa ya kulevya ambayo hayana uthibitisho wa kisayansi kama ni madawa ama unga tuu wakawaida. Kama Jaji alizingatia hayo hata hapo kesi inakuwa dismissed/no cae to answer.
 
Kesi ya ugaidi ni vigumu kukutwa nayo kwa jinsi ushahidi ulivyo finyu. Ila kuna yule aliyekamatwa na silaha lazima awe na kesi ya kujibu.
Kaka ile silaha haijadhibitishwaa pasipo shaka kama ilikutwa kwa watuhumiwa maana Polisi walibugi hawajachukua finger print ku identify ilegal possission of the fire army. Wangechukua ushahidi wa kushikwa kwa silaha kutoka kwa mtuhumiwa ingebainika kweli alikamatwa nayo. Mawakili walishauliza hayo katika cross examination.
 
Yeyote mwenye uelewa wa kawaida wa sheria, kama alikuwa anasikiliza ushahidi tangu mwanzo, anaweza kutoa maamuzi bila kusoma hizo kurasa.
Kusoma ni katika kujazia nyama maamuzi yake kwa ajili ya kumbukumbu kwa wale ambao hawakuwepo au kusikia.
 
. Huku family za watawala humo wanajirundikia vyeo na mamlaka.

Kama huwezi kusoma hata kuona huwezi ?!
Mimi nina cheo ila baba yangu alikuwa mkulima mdogo tu. Fanya kazi au kama una umri wa kusoma kasome acha kupiga tararira za siasa za kijinga humu.

Mtumikie Mbowe uone atakachofanya akipata madaraka labda uwe mchaga au uwe mwanamke mrembo kama Juyce Mukya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…