Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Huyo ni mzalendo wa kweli (Patriotism is greater than 500000000 K money) Tungekua na Watanzania kama yeye nchi yetu ingepaa kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
na ndio maana wanatupita kwa kila kitu,wana uzalendo wa kweli sio bongo huku

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
hivi si nilisikia pia kutoka kwa katibu muenezi kuwa raisi alitaka kuhongwa sijui shilingi ngapi zile kutoka kwa nani yule

nduki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Hawa jamaa rushwa nje nje pia mtindi hata mida ya kazi ,kweli nchi ya kitu kidogo
 
1+1+2! The killing of the IT official was a determinant and turning point. When NASA came up with the petition,the only option at their door step was bribery! Poor power mongers,f******k them
 
Sasa magufuli anisaidie.alienda kumpongeza Uhuru,na m mbea mmoja wa uvccm,akajinasibu kuwa magufuli kavuruga
mchoro wa Lowasa kwa kwenda kumpongeza Uhuru ! Je mtakatifu sana magufuli,Odinga akishinda nae utaenda kumpongeza ? Kwa hiyo umeunga mkono mtu aliyeshinda kwa hila,kwakumkomoa Lowasa ili uvuruge mchoro wa Lowasa ? Utakubali kuonekana hunamsimamo au hujui ufanyalo ? Ni hayo tu mtukufu kabisa.nimeuliza kwa nia njema kabisa nijue tu msimamo wako,naomba usinitumie bashite aniteke,wala msinitose ruvu /baharini,msining'oe kucha,macho wala kinibwenga kichwani.sina nia ovu kabisa katika kuuliza haya.wala msinipime mkojo au kunipeleka kisutu kwa uchokozi maana huu sio uchochezi ni maswali tu !sasa mnaweza kuyageuza mkadai ni uchokozi.siwezi kukuchokoza mtukufu wa nchi,unayeamini katika wananchi wako kuishi kama mashetani nakuogopa ! Na hata mkojo wenyewe utakauka kwa woga,mtanisumbua bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee. Ndo maana sasa vitisho kwenda mbele. "Sitting President )" keshasema atawanyoosha (kuwasort) huko mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…