Kaingiliwa uhuru wake badala ya kuchukua hatua wakati ule kuonyesha kuchukuzwa na jambo Hilo badala yake anakuja kutueleza Leo hii anapo staafu!!!!Kumbuka aliyefanya hivyo alikuwa kigogo wa serikali[emoji848]aliwaza mafao yake na penshen yake ya uzeen akaamua kutumia busara kuliacha lipite[emoji1787]he knows the court system is somehow fu.ck.e.d up[emoji1733]
Miaka 65!!!Miaka 65
Ukiwa na miaka 65 unaenda kufanya shughuli gani ya kifamilia?Miaka 65!!!
nadhani wengi wao hawatambui umri wao wa kuzaliwa, ukiwatizama kwa sura zao wengi Wana umri mkubwa!!!
Nawashauri wangeomba kustaafu kwa hiari ili wapate muda wa kufanya kazi zao za kifamilia.
Miaka 55, 60, 65 ni umri mkubwa sana , ni vyema wakastaafu wakiwa na miaka 50.
Magumu yapi mkuu?Jaji Mgeta ni mkwe wa mchungaji Rwakatare rip
Kwa sasa mkewe ndiye Askofu wa Mikocheni Assemblesy of God
Jamaa kapitia magumu mengi sana!
Hakuna kazi wanayo weza kufanya maana miaka 65 ni Babu kwa hiyo ataenda kulala tu, ndio maana nimesema Majaji wanatakiwa kustaafu wakiwa ni umri wa miaka 50 ili wapate muda wa kufanya shughuli zao binafsi.Ukiwa na miaka 65 unaenda kufanya shughuli gani ya kifamilia?
Kwani mtu anapokua jaji hana shughuli binafsi? Wana heka heka nyingi tu na michepuko kama watu wengineHakuna kazi wanayo weza kufanya maana miaka 65 ni Babu kwa hiyo ataenda kulala tu, ndio maana nimesema Majaji wanatakiwa kustaafu wakiwa ni umri wa miaka 50 ili wapate muda wa kufanya shughuli zao binafsi.
HUo upande mmoja wa shilingi lakini kuna upande wake wa pili.Jaji aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Mahakama, Jaji John Mgeta amesema katika kazi yake ya utumishi kama Jaji hatasahau namna ambavyo kigogo wa Serikali alichana hukumu mbele yake.
Jaji Mgeta ameyasema hayo leo Mei 4, 2023 muda mfupi baada ya hafla ya kuagwa yeye na majaji wengine wawili iliyofanyika Mahakama Kuu Kanda Masjala ya Dar es Salaam.
Jaji Mgeta amelitaja tukio hilo kama moja hya changamoto kubwa aliyowahi kukutana nayo katika utendaji wake.
“Miongoni mwa changamoto nilizokutana nazo ni kusimamia kesi ya aliyekuwa kigogo wa Serikali na kushindwa kesi kwa kigogo huyo. Katika shauri hilo kigogo wa serikali alishindwa kesi lakini nilipopeleka maamuzi ya mahakama aliyadharau na kuamua kuchana karatasi ya hukumu, kitendo hiki kiliniumiza sana na nilikosa furaha, lakini nashukuru baadae serikali ilisimama na kutekeleza kile kilichoagizwa na mahakama,”amesema Jaji Mgeta.
Awali, akizungumza katika hafla ya kuwaaga majaji hao, Jaji Kiongozi Mustapha Siyani amesema wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi na mahakama kwani ni huru na inatoa haki.
Jaji Siyani amewataja majaji hao waliomaliza muda wao wa utumishi kuwa ni Jaji Sekela Moshi, Jaji Beatrice Mtungi na Jaji John Mgeta ambapo amesema kuwa kipindi chote cha kazi kwa majaji hao walikuwa wanafanya kazi kwa weledi.
Amesema mbali na kuchapa kazi pia waliomaliza muda wao na wenye utii kwa kila mtu na kwamba kuondoka kwao ni pengo.
“Wananchi wakikosa imani na mahakama kila mtu atachukua sheria mkononi, na nchi yoyote duniani lazima iwe na mahakama, hivyo tuna mahakama nchi nzima zipo kwa ajili ya kuwasikiliza wananchi,” amesema Jaji Siyani.
Amesema kitendo cha kumaliza muda wao wa kazi kisheria ni alama tosha ya kuweza kuigwa kwa watumishi ili kuleta ufanisi katika kazi yao.
“Tunawakumbuka kwa bidii yenu ya kazi lakini na namna bora ya uongozi kwa kutatua kesi mbalimbali bila kujali ukubwa wake,” ameongeza Jaji Siyani.
Aidha, amesoma wasifu wa viongozi hao ambapo amesema wote walikuwa wamejaaliwa ujuzi katika kuandika hukumu pamoja hekima wanapokuwa na watu.
Chanzo: Mtanzania
Tungepata na mifano ya nchi zingine Afrika. Vilevile ingekuwa vizuri sana Au hata mifano ya nchi zilizoendelea- ilipotokea Raisi au Waziri Mkuu kuchana hukumu halafu akawajibishwa! Kali sana hiiHivi vitu vinatokea Africa tu. Nchi zilizoendelea hata Rais au Waziri Mkuu akifanya hivyo atawajibishwa.
Wacha wadharaulie tu sababu wao pia hawatendi haki kwa wananchi wa kawaida,pia hao ndo wanaokwamisha hata juhudi za kupata katiba mpya.Jaji aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Mahakama, Jaji John Mgeta amesema katika kazi yake ya utumishi kama Jaji hatasahau namna ambavyo kigogo wa Serikali alichana hukumu mbele yake...
Ni mbabe sana huyu mpaka kalikiti kichwani huyu. 2020 aliwateka wagombea ubunge wa vyama pinzani akajitangaza kupita bila kupingwa.Huyu huyu aliyekuwa anahudumu na marehemu stone?
Hakiks udhalimu wote utawekwa wazi, alafu watakuja Sukuma gang wakuambie alikua mzalendo.
Hakuna kazi wanayo weza kufanya maana miaka 65 ni Babu kwa hiyo ataenda kulala tu, ndio maana nimesema Majaji wanatakiwa kustaafu wakiwa ni umri wa miaka 50 ili wapate muda wa kufanya shughuli zao binafsi.
Jaji Mgeta ni mkwe wa mchungaji Rwakatare rip
Kwa sasa mkewe ndiye Askofu wa Mikocheni Assemblesy of God
Jamaa kapitia magumu mengi sana!
View attachment 2610509Huyo hapo, ana miaka 86 and still in the office.