Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lkn umeelewa?Sawa
Ushirikiano huhitimishwa na vimemo vya maamuzi, mtuhumiwa ambaye ndiye mteja wa mahakama ndiye anastahili zaidi kupewa huo ushirikiano kuliko asiye na kesi.Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema ufuatiliaji wa masuala ya Mahakama unaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan haumaanishi kuingilia uhuru wa mhimili huo, bali unaonesha dhamira ya kushirikiana kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa haki nchini.
Profesa Juma amesema hayo leo Jumapili, Juni 15, 2025 katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma.
"Sijawahi hata siku moja kukaa na Mheshimiwa Rais, Spika au Waziri Mkuu na kuzungumzia kesi hata siku moja. Kwanza sina hata majalada hapa. Tunazungumza mambo ya masilahi mapana ya Taifa," amesema Profesa Juma.
Jaji mweyewe anaitwa "juma"....muisiharamu 🙄Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema ufuatiliaji wa masuala ya Mahakama unaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan haumaanishi kuingilia uhuru wa mhimili huo, bali unaonesha dhamira ya kushirikiana kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa haki nchini.
Profesa Juma amesema hayo leo Jumapili, Juni 15, 2025 katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma.
"Sijawahi hata siku moja kukaa na Mheshimiwa Rais, Spika au Waziri Mkuu na kuzungumzia kesi hata siku moja. Kwanza sina hata majalada hapa. Tunazungumza mambo ya masilahi mapana ya Taifa," amesema Profesa Juma.
Lazima utasikia kateuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi fulaniUkistaafu unatakiwa uache kuwashwawashwa. Au unataka uteuliwe kwenye tume huru?
Noma sana!Ohoo! Hii hali ya kutubu hadharani, hutokea kwa kila anayedhulmu uhai na haki ya mtu mwingine.