Jaji Mkuu mstaafu Prof. Juma: Rais Samia haingilii uhuru wa Mahakama, bali ushirikiano

Jaji Mkuu mstaafu Prof. Juma: Rais Samia haingilii uhuru wa Mahakama, bali ushirikiano

Sababu za kutiki ni zipi??,
Mwaka 2020 ccm walipiga kura za ubunge, uraisi na udiwani siku 2 kabla. Mfano pale ccm mkwajuni . Walikusanywa watoto kutoka mitaani wakapewa ( wali maharage) na kupiga kura kwa wagombea wa ccm.
Waliahidiwa kupewa 5000/= hawajapewa hadi leo ( nilishuhudia) nawe!a kuthibitisha.
Huko wilayani walimu waliingiza kura kwenye masanduku kuanzia saa 9 usiku wakishirikiana na TISS na ma DED
No reforms no election
Mfamaji anatapatapa huyooo!!Twende ulingoni oktoba
 
Mumzika tu Mh na sasa ni wakati wa kujitafakari uliyofanya ukiwa madarakani.
Kama ulifanya mazuri kusaidia jamii malaika wa Mungu wakulinde.
kama ulifanya mabaya kuumiza watu ubaya una kawaida ya kuandamana na mtu milele.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huyu Babu amekuwa aibu Kwa tasnia ya wanataaluma...Khaa!
 
Back
Top Bottom