tatizo haya hayafi , huyu mpuuzi , nadhani wote ni wajinga kama yeye! Mpuuzi mkubwa. Tuna ndugu zetu humo wanaoona kuwa wanashinikiza wamuzi kufanya wanayoyatakaHuyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Adhabu yenu ilishaandikwa mbinguni,kwakuwa licha ya kuambiwa msifanye mliyoyafanya bado mlikaidi kwa makusudi Kwa maslahi yenu. Hamna pa kutokea,moto wa milele u juu yenu!Huyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Programmed kuropoka. Sasa hapo shida iko wapi wewe nyumbu?Huyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Huyu babu kaiharibu mahakama vibaya snHuyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Huyu ni CJ wa hovyo tangu nchi ipate uhuruHuyu Juma ni mwongo mkubwa. Nina ushahidi wa uhakika kabisa huyu CJ alivyokuwa wa hovyo kuliko watangulizi wake wote. Mara kadhaa alikuwa akikutana na na katibu mkuu wa CCM kujadili jaji gani asikilize kesi, na hukumu iweje kwa kesi zote zilizokuwa zinaigusa Serikali na CCM moja kwa moja. Yangu utawala wa awamu ya 5, mara kadhaa alikuwa akifanya vikao na Bashiru na Ndugai. Hata wakati wa sakata la CAG, Juma, Ndugai na Bashiru walikutana kujadili mpango mzima wa kumwondoa Musa Assad. Baada ya kuwa wamekamilisha njama yao, ndipo walipeleka mapendekezo yao kwa hayati, ambaye alitangaza kile walichomshauri.
Huyu kama mambo yake ya hovyo yakiwekwa wazi jinsi alivyoiharibu hiyo ofisi ya CJ, hatapanua mdomo wake kutamka huu upuuzi anaouongea. Huyu ndiye CJ aliyeiharibu mahakama kuliko CJ yeyote mwingine.
Akapumzike akiwa na laana za kudhulumu haki za watu. Ni katika utawala wake mahakama imejaa majaji kutoka kundi la wasiojulikana.
Ameagizwa asemeUtadhani kaambiwa aseme.
No reforms ni electionOKTOBA TUNA ✔️
Huyu ni CJ wa hovyo tangu nchi ipate uhuru
Lulu mtamteka lini?Programmed kuropoka. Sasa hapo shida iko wapi wewe nyumbu?
Ngoja tuone wataendesha hadi lini?Wanaondesha hii nchi wanajulikana na Abduli,Mchengerwa na Wazir Salum
Sawa umesema No reforms ni election? Basi umeeleweka tuta,✔️ kwenye electionNo reforms ni election
Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kupiga kura
Sababu za kutiki ni zipi??,OKTOBA TUNA ✔️
😆😆😆😆Sababu za kutiki ni zipi??,
Mwaka 2020 ccm walipiga kura za ubunge, uraisi na udiwani siku 2 kabla. Mfano pale ccm mkwajuni . Walikusanywa watoto kutoka mitaani wakapewa ( wali maharage) na kupiga kura kwa wagombea wa ccm.
Waliahidiwa kupewa 5000/= hawajapewa hadi leo ( nilishuhudia) nawe!a kuthibitisha.
Huko wilayani walimu waliingiza kura kwenye masanduku kuanzia saa 9 usiku wakishirikiana na TISS na ma DED
No reforms no election
Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake woteOhoo! Hii hali ya kutubu hadharani, hutokea kwa kila anayedhulmu uhai na haki ya mtu mwingine.