Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Tunasubiri aandike kitabu na kujikosha zaidi.
Tutakichoma motoTunasubiri aandike kitabu na kujikosha zaidi.
Kabla ya kufa ataandika kitabu kama MkapaNimemuangalia namuonea TU huruma🙄,angekua huru kweli angezungumza kinyume chake.
Atavuna alichopandaWakiwa wamevaa majoho na suti unawaona wa maaana, ngoja sasa wafungue midomo🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️😭
Huyo ni mmoja wa GENGE la Samia; mpuuzi kabisa asiyejali maslahi ya nchi hii.Huyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Anatafuta kujitakasa na kuendelea kushikiliwa gerezani kwa Tundu Lissu?Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
OKTOBA TUNA ✔️Huyu hajaulizwa na mtu ila kwa nguvu ya maombi ameanza kupandisha Maruhani
View attachment 3370517
Taarifa zingine zinaeleza kwamba ni mengi yatafumuka, Tuendelee kutega sikio
Mkuu umeongea point ns nusu.Kwani unadhano Samia alishawahi kumuagiza chochote Tulia? System inatengeneza saikolojia yao, wao wanajiset wenyewe kwa kutenda namna ambayo wanaona itamfurahisha mteule wao. Ukishaidhibiti akili ya mtu, huwazii tena namna atakavyotenda.
Uzuri ni kwamba wamekwisha rekodiwaAnatafuta kujitakasa na kuendelea kushikiliwa gerezani kwa Tundu Lissu?
AU anasutwa na hiyo kesi ya Wazanzibar kufungia chama cha siasa kufanya shughuli zake?
Kuna jambo linamvuruga akili huyu!