Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

Usemayo ni kweli. Kumfunga mshitakiwa wakati anatakiwa kuachiwa inakuwa haki haikutendeka na kutolewa, lakini pia ukimuachia mshitakiwa wakati anatakiwa kupatikana na hatia pia si haki na haki haikutolewa. Lakini makanda wanadhani haki ni kuachiwa mbowe. Kama ana hatia, haki ni kunfungwa.
 

Katiba mpya sio solution ya shida za kweli za wananchi. Zipo nchi nyingi zilizoandika katiba zao upya, lakini shida zao zimebaki palepale. Angalia, kwa mfano, Wakenya na Wazambia. Katiba zao mpya zimewasaidiaje? Mivurugano ya kisiasa na economic hardships za mwananchi wa kawaida ziko palepale. Mabadiliko ya katiba mara nyingi huishia kutengeneza fursa fulani kwa ajili ya political entrepreneurs tu!

Namna ya kupata majaji ni swala la utaratibu tu. There’s no gold standard; it’s all a function of the governing system in place! Zipo political jurisdictions ambazo zina utaratibu wa judges kuchaguliwa na wananchi kwa ballot paper; zipo zenye utaratibu wa kuteua kama tunavyofanya sisi, lakini subject to confirmation by the legislative branch na pia zipo zenye utaratibu wa kutumia tume za utumishi wa mahakama.
 

Mkuu umeandika vyema sana:

"Bado hata tukipata katiba kuna cgamoto zingine, na hazitaepukika."

Bila shaka ukimaanisha changamoto tunazozipigia kelele sasa kama za mihimili iliyojichimbia zaidi, kubambikiziana kesi, kurundikiana kodi na tozo hali vigogo hawahusiki nk kwa maana ya utawala wa kidemokrasia tutakuwa tumeyapatia dawa.

Kama ilivyo kirusi cha Corona ambacho hujifunza kutokana na makosa na kujiboresha zaidi kuwa leo tunaongelea Delta, ndivyo ambavyo itakavyokuwa kwetu kwa maana kamili ya kusonga mbele.

Tunataka kusonga mbele si kulemaa kubovu tulipo ambapo hata haya hapa yana ukweli:

 

Katika sheria ni afadhali kumweka huko mkosaji kuliko kumwadhibu asiye na kosa. Huo ndio msingi wa “ushahidi usiokuwa na mashaka”. Siwasemei makamanda lakini kesi aliyopeleka Mbowe kwa jaji Luvanda ilisema zawadi iwe i kuachiwa huru. Na kwa kuwa kumwachia Mbowe huru isingemaanisha hakutenda makosa, jamhuri ilikuwa na uwezo wa kumkamata tena nje ya mahakama na kumfungulia kwai upya. Kumbuka: kesi haikuwa Mbowe hakutenda makosa anayostakiwa. Kesi ilisema hati ya mashtaka sio sahihi kwa sababu makosa yamerudiwarudiwa na hati ya mashtaka haina taarifa kama tarehe na siku makosa yalitendwa.
 
Jaji Mustapher Mohamed Siyami

Je Media wameshindwa kuingia ndani ya Mahakamani Maalum ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ?

Mheshimiwa Jaji wa Mahakama Kuu anaweza kusaidia kuondoa mkwamo wa Waandishi kuzuiwa kuingia ndani ya Mahakama.


Source : Mubashara Studio
 
Hawa watu
1.Ni wateule wa Rais.
2.HAWALIPI KODI.
3.Wanapata ulinzi bure wa serikali
4.wanahudumiwa na serikali kwa Kila aina ya huduma.

Kwa muktadha huo tumuomba M/Mungu amjaaliye jaji kuweza kutenda haki kwa mujibu wa SHERIA za nchi yetu.

Jaji Kama ataamua kufuata maelekezo ya bosi wake aliyemteua Wala tusihuzunike,Mbowe Ni sehemu ya raia mwenye haki ya kukaa gerezani, hospital,mahabusu,na hata kufariki.

Sisi na wale watakaokuwa mtaani waendeleze Moto wa KATIBA MPYA mpaka ipatikane.
Tusikumbushane yaliyompata JAJI JOSEPH KAPINGA.
 

16 September 2021
Dar es Salaam, Tanzania

BENSON KIGAILA AWALIPUA JESHI LA POLISI KUZUIA WATU MAHAKAMANI

Kongole mheshimiwa jaji Mustapher M. Siyani kwa kukataa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuwa mateka wa jeshi la Polisi
 
Tuanzie hapa kwanza halafu tuendelee
 
Shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…