wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kabobea sana kwenye mambo ya haki za binadamu huenda akatenda haki tuzidi kumwombea asikengeuke afanyie kazi mamlaka yake
Kwa ufupi sana Jaji huyu Mustapha Mohamed Siyani aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma siku ya Ijumaa tarehe 20 April 2018, na Aliyekuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya 5 Dr John Magufuli, Baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo tarehe 15 April 2018 .
Pia amewahi kuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
NOTE : Jaji wa Mahakama Kuu ni mtumishi wa Umma, kumfahamu haijawahi kuwa kosa kisheria