Ndio maana nasema CCM wote na police wote hawanaga akili kabisa aiseeee. Trust me, hawa Jamaa ni mashetaniManeno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
View attachment 3299737
Pamoja na haya ya Jaji Mutungi, jingine la kujiuliza ni kuwa:
"hivi zile kesi za uhaini zikiwakabili kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au Mwamba; ziliishia wapi?"
Kabla ya ule mwisho wenye lao jambo mbona, "ni kama bado wangali hawajasema?"
Ama hakika na watasema tu!
Source: Mwananchi.
Hajawahi kuwa na nia njema kwa Chadema na upinzani hivyo maneno yake huenda lengo ni kisema uchaguzi utafanyika hata kama kelele ni nyingi ama?Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
View attachment 3299737
Pamoja na haya ya Jaji Mutungi, jingine la kujiuliza ni kuwa:
"hivi zile kesi za uhaini zikiwakabili kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au Mwamba; ziliishia wapi?"
Kabla ya ule mwisho wenye lao jambo mbona, "ni kama bado wangali hawajasema?"
Ama hakika na watasema tu!
Source: Mwananchi.
Hukumsikia Samia alivyoeleza matokeo ya alichokiita maridhianoManeno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
View attachment 3299737
Pamoja na haya ya Jaji Mutungi, jingine la kujiuliza ni kuwa:
"hivi zile kesi za uhaini zikiwakabili kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au Mwamba; ziliishia wapi?"
Kabla ya ule mwisho wenye lao jambo mbona, "ni kama bado wangali hawajasema?"
Ama hakika na watasema tu!
Source: Mwananchi.
Hukumsikia Samia alivyoeleza matokeo ya alichokiita maridhiano
Hajawahi kuwa na nia njema kwa Chadema na upinzani hivyo maneno yake huenda lengo ni kisema uchaguzi utafanyika hata kama kelele ni nyingi ama?
Nimeamua kuachana na mke wangu Ili niwe na soma mabandiko Yako mkuu bila buguza yyteManeno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
View attachment 3299737
Pamoja na haya ya Jaji Mutungi, jingine la kujiuliza ni kuwa:
"hivi zile kesi za uhaini zikiwakabili kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au Mwamba; ziliishia wapi?"
Kabla ya ule mwisho wenye lao jambo mbona, "ni kama bado wangali hawajasema?"
Ama hakika na watasema tu!
Source: Mwananchi (Gazeti la jana).
Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anena haya;
RESILIENCE ni USTAHIMILIVU
Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE (Ustahimilivu).
Naelewa, msalani hatuendi na njaa bado inauma! Naelewa, ngedere wapo wanaocheka msitu ukiteketea na hivi punde giza litaingia hawatapata mahali pa kulala.
Bila USTAHIMILIVU tutakosea kama bado hatujakosea:
1. Yule pale kasingizia kuna Ebola na M-pox, akavumiliwa kwa sababu magonjwa hayo hayapo. Aliamka vibaya siku hiyo au alisahau kumeza dawa.
2. Huyu kakurupuka, “tutakinukisha na mashindano ya kujaza fomu hayatafanyika”. Mvumilie naye mlivyomvumilia yule. Kwani mashindano ya kujaza fomu yameishakwama? iAu mnahukumu nia? Wahukumuni wote basi.
3. Nimewasikia watu wanalaani uanaharakati. Wanautumia uanaharakati kulaani uanaharakati. Tukikosa ustahimilivu tutakosea. Kwa nini?
a. Huyu kadai reforms za kuondoa polisi katika shughuli za kisiasa. Polisi wamemkamata katika shughuli za kisiasa. Je kakosea? Polisi hawajampa point 3 za bure?
b. Anasema bila reforms hakuna uchaguzi. Wenzake (G55) wanasema twende kwenye uchaguzi. Kama polisi wameingilia kampeini, wataacha kuingilia uchaguzi?!
c. Wana Ijumaa walimaliza mfungo wao juzi ile. Wavaa majoho wakaonywa waache kihelehele, watulie wale sadaka zao kimya kimya. Wana Jumapili watafungua mfungo wiki ijayo. Hawa wavaa majoho wataacha kuwashwawashwa? Polisi wanayo magunzi ya kutosha kuwakuna wanapowashwa kufurahia “gaidi” aliyeuawa na polisi akafufuka siku ya tatu?!
4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:
a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.
b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.
c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.
Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.
“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
Nimeamua kuachana na mke wangu Ili niwe na soma mabandiko Yako mkuu bila buguza yyte
Lete namba tumuoe kabla hujafa ili ukifa asiolewe.Nimeamua kuachana na mke wangu Ili niwe na soma mabandiko Yako mkuu bila buguza yyte
Elew,a ulivyoelewaKutokuwa na nia njema ni kitu gani ndugu?
View attachment 3299747
Vipi machadema miguuni pale, unadhani wao wanayo thamani ipi wapi kulinganisha na ukweli huu wa Mutungi?
Kwamba hata Pilato hakuwa na nia njema, so what ndugu?
Kulikoni kuwa na adui wa kudumu?
Sa100 mabango kila sehemu nchini lakini bado hasomeki kudadek!
Mara bao la mama, champion wa komedi, sijui samia marathon...samia pikipiki, samia radio, kofia, vitenge, tshirt na ujinga mwingine kedekede
Swali muhimu sana?Anasema bila reforms hakuna uchaguzi. Wenzake (G55) wanasema twende kwenye uchaguzi. Kama polisi wameingilia kampeini, wataacha kuingilia uchaguzi?