PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hatima ya nchi iko mikononi mwa CCM na serekali yake.
 
CCM na wanufaika wa mfumo wanazipenda kauli tata hizi zinazoweza kutafsriwa kuwa vionjo vya kuwa wao ndiyo wenye uamuzi wa mwisho.

Hatima ya nchi hii haipaswi kuondolewa mikononi mwa wananchi kwa vionjo, maneno na hata vitendo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kuna na Madaktari wa mama, msaada wa Sheria na wanasheria wa mama ..

Na yale mengine haya hapa yenye kububujikwa na machozi: Lukas mwashambwa, Tlaatlaah Kwa lolote.

Bure kabisa!
Baada ya mfungo wa kwaresma itajulikana gentleman, tuheshimu imani 🐒
 
Zingatia Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni shahidi wa wetu.

Mengine haya ni kumwongezea Lissu CV kwa style ile Ile ya kumpiga chura mateke.

Lissu ni mtoa mihadhara ya ukombozi duniani. Kama huku si kumpa CV ni nini?

Au wapi umeona kuna tuliposikitika kwenye hili?

Aluta continua.
 
ni muhim kuheshimu sheria na mfungo wa kwaresma, kuropoka ropoka kwaresma kuna madhara yake,

mapilato wako kwenye mfungo 🐒
 
Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2025 uko palepale.

Jaji, Mutungi amesema wakati anazungumza na waandishi wa habari baada ya kushiriki warsha ya wadau wa kujadili namna ya kuzuia na kupambana na rushwa katika uchaguzi mkuu 2025.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi wa ndani, CHADEMA wamekuwa wakieleza kuwa, bila mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi hakutakuwa na uchaguzi mkuu mwaka 2025 na kwamba watauzuia kwa kuandamana nchi nzima kauli ambayo inapingwa na vyama vingine vya siasa ikiwemo CCM.

Msajili huyo amesema hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi wa mwaka huu, kwakuwa kinachosemwa ni matamshi ya wanasiasa majukwaani ambayo kila chama kinaweza kuwa na maana yake.

“Hakuna awezaye kuzuia uchaguzi kwa kutamka tu kwenye majukwaa, CHADEMA hawajavunja sheria na nilipokutana nao hivi karibuni walisema hawatakuwa tayari kuvunja sheria za uchaguzi,” amesema Jaji Mutungi.

Aidha, amesema chombo kinachoweza kuzuia uchaguzi ni mahakama na hadi sasa hakuna aliyekwenda huko isipokuwa kinachoendelea ni matamshi ya midomoni mwa wanasiasa.

Amesema hajasikia kuwa CHADEMA wamekwenda mahakamani kupinga uchaguzi licha ya kuwa wanao wanasheria wanaojua utaratibu mzima wa nini kifanyike hivyo kinachoonekana ni kama wanafanya propaganda za kisiasa ambazo haziwezi kuwatia hatiani isipokuwa kama kutakuwa na maneno mengine ndani ya kauli zao.

“Mimi nitatafuta muda wa kuwaiteni kuzungumza kirefu zaidi kuhusu mambo haya, lakini kama ulivyosema mimi ndiye baba wa vyama vya siasa ni kweli, na kila chama kina haki ya kusikilizwa lakini siyo kuvunja sheria, sisi hatutegemei kama wanaweza kuvunja sheria,” amesema.
 
Watanganyika tukiendelea kutumika na Huyu Mu Oman tutavuna mabuwa. Mtanganyika umatumika kuweka kesi ya uhaini kwa Tanganyika mwenzako, ni dhambi kubwa ya umauti. Magufuli na ubabe wake wote hakuwahi mpa mtu kesi ya uhaini wala ugaidi.
 
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:

---
Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2025 uko palepale.

Jaji, Mutungi amesema wakati anazungumza na waandishi wa habari baada ya kushiriki warsha ya wadau wa kujadili namna ya kuzuia na kupambana na rushwa katika uchaguzi mkuu 2025.
Jaji Mtungi anapaswa kuelewa kuwa mabosi wake CCM ni Makaburu weusi ambao wataamuru Polisi wakukamate na kukufungulia kesi ya uhaini ya kutinga bila kujali sheria zinasema nini.
 
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:

---
Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2025 uko palepale.

Jaji, Mutungi amesema wakati anazungumza na waandishi wa habari baada ya kushiriki warsha ya wadau wa kujadili namna ya kuzuia na kupambana na rushwa katika uchaguzi mkuu 2025.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi wa ndani, CHADEMA wamekuwa wakieleza kuwa, bila mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi hakutakuwa na uchaguzi mkuu mwaka 2025 na kwamba watauzuia kwa kuandamana nchi nzima kauli ambayo inapingwa na vyama vingine vya siasa ikiwemo CCM.

Msajili huyo amesema hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi wa mwaka huu, kwakuwa kinachosemwa ni matamshi ya wanasiasa majukwaani ambayo kila chama kinaweza kuwa na maana yake.

“Hakuna awezaye kuzuia uchaguzi kwa kutamka tu kwenye majukwaa, CHADEMA hawajavunja sheria na nilipokutana nao hivi karibuni walisema hawatakuwa tayari kuvunja sheria za uchaguzi,” amesema Jaji Mutungi.

Aidha, amesema chombo kinachoweza kuzuia uchaguzi ni mahakama na hadi sasa hakuna aliyekwenda huko isipokuwa kinachoendelea ni matamshi ya midomoni mwa wanasiasa.

Amesema hajasikia kuwa CHADEMA wamekwenda mahakamani kupinga uchaguzi licha ya kuwa wanao wanasheria wanaojua utaratibu mzima wa nini kifanyike hivyo kinachoonekana ni kama wanafanya propaganda za kisiasa ambazo haziwezi kuwatia hatiani isipokuwa kama kutakuwa na maneno mengine ndani ya kauli zao.

“Mimi nitatafuta muda wa kuwaiteni kuzungumza kirefu zaidi kuhusu mambo haya, lakini kama ulivyosema mimi ndiye baba wa vyama vya siasa ni kweli, na kila chama kina haki ya kusikilizwa lakini siyo kuvunja sheria, sisi hatutegemei kama wanaweza kuvunja sheria,” amesema.

---

Pamoja na haya ya Jaji Mutungi, jingine la kujiuliza ni kuwa:

"hivi zile kesi za uhaini zikiwakabili kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au Mwamba; ziliishia wapi?"

Kabla ya ule mwisho wenye lao jambo mbona, "ni kama bado wangali hawajasema?"

Ama hakika na watasema tu!

Source: Mwananchi.
 
Gentleman,
mdomo na uropokaji umesababisha mtu akose nyagi na nyama, dah!

Tuwe midomo katika mwezi huu mtukufu wa kwaresma jamani,🐒
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg

Hivi hii unaizungumziaje?
 
Uzuri ni kuwa Kila Figisu kwa Lissu au upinzani ni Fursa adhimu kwetu.

Kabla ya chakula kuwiva huchemka barabara kwanza!
Ccm na serikali yake yana fanya makosa yale yale yaliyofanywa na serikali ya makaburu ya kumfunga Madiba wakifikiri kuwa kwa kufanya hivyo wangekiua chama cha ANC!! Hawakujua kwa kumfunga kiongozi wao chama ndio kikapata nguvu zaidi na hatimaye kuangusha utawala wa makaburu.
Ccm na serikali yake should learn from history ; wakoloni pia walimshitaki Nyerere kwa uhaini lakini baada ya hapo TANU ikapamba moto. Inawezekana Samia na wenzake hawajui historia hii lakini Wassira anaijua fika!
Kumkamata Lissu sio suluhisho la tatizo la kudai uchaguzi ulio huru na haki. You are just delaying the inevitable.
 
Back
Top Bottom