StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kutapatapa. Kupambana kuiua HAKI ni gharama kubwa kuliko kuiishi.Uzuri ni kuwa na wao wanajua tunajua.
Kwani umeona kuna CDM au Lissu mwenyewe aliye na masikitiko?
Hili mbona ni Fursa kama bahati za mtende tu?
Si unajua ule usemi wa kuruka maji au mkojo?
Basi ndipo tulipo leo!