PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Hawawezi kujifunza kwa mtu hawa. Nia yao ni utawala tu, wao, wakwe zao na watoto wao.
 
Unajua kukamatwa Kwa lisu ni matakwa ya mtu binafsi na roho yake ya hofu wala sio takwa la serikali yetu ya CCM Wala chama wala dola yaani no mtu TU anahofu ikamzidi akaona amkamate!!

Lakini kisiasa Lisu ndio anaupa promo uchaguzi mkuu Kwa hizo kauli zake!yaani badala ya makada wanadi sera zao wabaki tu wanabishana kuhusu uchaguzi upo au haupo!!

Lisu amefanikiwa kazi aliyotumwa mayo ni kumpandisha presha mwenyekiti na yeye imepanda kweli ndio maana kakamatwa!!
 
The old man is very right, that was nothing short of a political statement aimed at evoking emotion.

I remember in 2011, Dr Slaa threatened Jakaya Kikwete that, with starting an insurrection similar to that of Libya and Syria, talking to a microphone that "Nchi haitatawalika".

Tanzania was okay, and nobody was charged.​
 

Whatever that anyone could make out of why this or that, the bottom line is:

"fair, free and credible elections is all that Lissu, CHADEMA and the people want."

The rest can be told to the birds!
 

Mkuu kila mtu anaweza kuwa mafikara yake ila bottom line:

"Kunatakikana uchaguzi huru, wa haki na wenye kusminika."



Huo ndiyo ulio wito dhidi ya wote pichani wasiotutakia mema!
 
Maybe wanajiamini kwamba wao wako smart kuliko makaburu. Kwamba wamejifunza Makaburu walifeli wapi then wao wamekuja na mwarobaini.
 
Kiherehere tu, Lissu hajakamatwa kwasababu ya huo wimbo wenu, nenda kasikilize charge mahakamani.
 
Huu upuuzi ni km huyo askofu alivyo mpuuzi
 
Yaani tutawavuruga mpaka wakose cha kusema, huku wanaambiwa wamekosea, huku wanaambiwa wako sawa
 
Yaani tutawavuruga mpaka wakose cha kusema, huku wanaambiwa wamekosea, huku wanaambiwa wako sawa

Kwani ninyi ni wepi kati ya hao wawili pichani?



Nyote wawili si mu wamoja?
 
Maybe wanajiamini kwamba wao wako smart kuliko makaburu. Kwamba wamejifunza Makaburu walifeli wapi then wao wamekuja na mwarobaini.

Hii ni sikio la kufa tu. Hawana lolote ndugu.

Kwani za kina Mwabukusi, Slaa, Mdude au Mwamba ulikiona hicho kipya ambacho ungedhani walikuwa nacho hapo.

Si waseme tu wanadhani wamshikilie Lissu kumpotezea muda Lissu na CHADEMA kudai mabadiliko.



Kwamba halahala Mungu saidia kuwasaidia 2 hao pichani?

Kwani umesikia CCM au yule kipara wa uru wanasema je?
 
Nimekupata ndugu.
 
Kiherehere tu, Lissu hajakamatwa kwasababu ya huo wimbo wenu, nenda kasikilize charge mahakamani.

Ulijipa muda kuangalia charge za kina Mwabukusi, Dk Slaa Mdude au Mwamba?



Kwani pichani dhidi ya wanaomshikilia nani hakujua ndiko muendako au mtamaliza vipi?

Ila endeleeni kumpiga chura teke mkidhania mnampunguza Kasi.

Bure kabisa!
 
Kwa vile walikubali kumwachia urais na wao Chadema wahangaike na Ubunge. Lissu akatibua

Unatakikana uchaguzi huru wa haki na wenye kuaminika. Atakw asitake. Hii nchi si shamba la mtu.
 
Nimekupata ndugu.

Uzuri ni kuwa na wao wanajua tunajua.

Kwani umeona kuna CDM au Lissu mwenyewe aliye na masikitiko?

Hili mbona ni Fursa kama bahati za mtende tu?

Si unajua ule usemi wa kuruka maji au mkojo?

Basi ndipo tulipo leo!
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema chombo kinachoweza kuzuia uchaguzi ni Mahakama pekee.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…