Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hizi ziwe sababu ya kuipata latina mpya.Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
View attachment 1846720
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ziwe sababu ya kuipata latina mpya.Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
View attachment 1846720
Amegraduateanatumia heroin siku hizi
Hivi kumbe hawa watu bado wapo! Hii ni ofisi inayokula kodi yetu bila sababu. Hivi huyu Mutungi na ofisi yake waliwahi kukilea chama gani? Naona anasema yeye na ofisi yake ni walezi wa vyama vya siasa.
Kati ya Majaji wapuuzi kutokea duniani huyu ana ongoza. Yaani jaji wa miss Tanzania ana akili kuliko huyu MtungiMsajiri ni snitch Kama walivyo wakina
Kabudi
Polepole
Bashiru
Prof.Lipumba
Mbatia ........
Huyu mpuuzi anatakiwa astaafu, umri umeshapitaMsajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
View attachment 1846720