Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanadam kiburi bana akiwa haiKifo ni fundisho kubwa sana kwa sisi tulio baki hai. tutende mambo mema, tuache chuki, futina na majungu.
R.I.P jaji.
India huko kutatumalizaApumzike kwa aman sana
Kwani tu kufia bongo huwa hamuwezi mpaka mkafie India? Jaman kila kiongozi awamu hii ya mama Samia anafia India
Hao ndio wanaotukwamisha kuiondoa ccm madarakani, ngoja wapukutike.Duh
Ova
😄Hao ndio wanaotukwamisha kuiondoa ccm madarakani, ngoja wapukutike.
Unatafutwa mkuuIndia huko kutatumaliza
Ova