Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Huyu Tundu Lissu ana nini lakini?🤣🤣
Hata hivyo, Jaji Ndunguru ameagiza kutolewa kwa wito rasmi (summons) kwa Mkuu wa Majeshi (CDF), Mkuu wa Polisi (IGP) na DCI ili wafike Mahakamani kutoa ushahidi upande wa utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Septemba 11, 2026
 
Kwanini Lissu viumbd vyote vinamsikiliza? Huyu jamaa ana Karama
 
Kwa jinsi ushahidi wa upande wa serikali ulivyokuwa, ulitegemea lissu angekuwa na kesi ya kujibu?
Ukwell mchungu ni kuwa WALE WALIOMKOSA LISU 2917 KWA KUMMININIA MARISASI, HAO HAO NDIO WAMEKUJA KIVINGINE KISHERIA 2025.
Hao akina Katuga, Ndunguru, .... wapi hapo kwa mujibu wa taratibu.

Lisu alishambuliwa 2017 kutokana na harakati/kusemea rasilimali, hivyo hivyo na kutiwa kwake nguvuni mwaka jana.

Hilo kundi lina nguvu sana, awamu hii halipotatari kushindwa labda Mungu aingilie kati, Magu alipojaribu kutaka kupunguza nguvu yao mmnajua kilichompata.

Vichwa panzi/ mashabiki wa mihemko au toka CCM au CHADEMA hawajui vyema huu uhuni. Ni mazumari wasiojua lengo la wimbo
 
Hii kesi nimeota
1.jaji mmoja atakufa wawili watapona
2.majaji wawili watakufa mmoja atabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…