Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Alafu tunaaminishwa kuwa tunataka nchi irejeshwe kwenye maadili?Kwenye eneo la majeshi ni ngumu sana kutumbua majipu ndiyo maana hata CAG huwa hakagui sana kwenye eneo hilo na hasa JWTZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu tunaaminishwa kuwa tunataka nchi irejeshwe kwenye maadili?Kwenye eneo la majeshi ni ngumu sana kutumbua majipu ndiyo maana hata CAG huwa hakagui sana kwenye eneo hilo na hasa JWTZ
Huo uwezo wa kutafakari hana ndio maana amepost kitu kama hicho,kinacho muongoza ni kujaza tumbo tuKwahiyo PAC Wanatafuta Umaarufu. Kwahiyo Mh Magu anapotumbua majipu anatafuta umaarufu. Tafakari Fikirisha Kichwa Chako.
We mgogo,tulia andika vizuri ndio upost siyo KUSAMBASA!!!! ni KUSAMBAZANadhan mkataba unajulikana, " umesainiwa 2011 kusambasa vifaa vya alama za vidole katika vituo vya polis zaid ya 100, kwa jumla tsh billion 37"
Kama hataki uonyeshwe, basi ajibu maswali ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi, kwanin zimeshatumika billion 34 kwa vituo 14 pekee..?!
Tayari tumesha inoteHii ishu inaonekana inaanza kupotea taratibu mwisho tunaisahau.
Kwa maana yako hutaki watu wachangie kwenye hii issue?Mkuu, mimi kwa sasa nimeanza kujiuliza sana kuhusu hili suala.
Kuna uwezekano mkubwa tukawa tunacheza ngoma za watu bila kufahamu ajenda zake.
Safi kabisa katibu mkuu....kiukweli masuala ya jeshi hayafai kuanikwa .....ikumbukwe masuala ya jeshi si kama taasisi zingine za Mkonge....
Jk yupo ametulia anasikilizia tu,kweli kwa uozo kama huu wasinge kubali rasimu ya warioba ipitishwe hata kwa kutumia vifaru na wabunge wa ccm wakaingizwa chaka bila kujijuaNi ile ile,wapuuzi endeleeni kupiga makofi!
Duuh kweli babu ni KUSAMBAZA, Lakin na wewe siku nyingine utulie pia na uunganishe kiswahil chako vizur hapo " TULIA UANDIKE VIZURI sio TULIA ANDIKA VIZURIWe mgogo,tulia andika vizuri ndio upost siyo KUSAMBASA!!!! ni KUSAMBAZA
UsolowenyoooDuuh kweli babu ni KUSAMBAZA, Lakin na wewe siku nyingine utulie pia na uunganishe kiswahil chako vizur hapo " TULIA UANDIKE VIZURI sio TULIA ANDIKA VIZURI
Ina maana kamati ya PAC iliyokuwa inang'ang'ania ipewe mkataba huo haizijui taratibu hizi za ni kamati gani iliyopaswa kuuona?Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC
Kwenye eneo la majeshi ni ngumu sana kutumbua majipu ndiyo maana hata CAG huwa hakagui sana kwenye eneo hilo na hasa JWTZ
Kakuwekea link hapo yenye habari ya ukweli bado unataka ukweli upi?Kama mleta uzi kasema uongo basi mkuu tunakuomba wewe mwenye ukweli tuwekee hapa ili tujuwe kuliko kutuwacha hewani
NA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NAONA SIKU HIZI HAIFANYI KAZI.NYUMBU NI JANGA KUU.Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.
Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Kulikuwa hakuna haja ya Saidi Lugumi kutoroka,mbona kisha shinda hii kesi kama mambo yenyewe yako hivi.
we kwel mgogo,huna akili kama wagogo wenzako,kichwan peupe peee,kwahyo ukiambiwa mkataba ndo unajua ni hzo details? Paka kwel wewe,kama unatetea ugal wako jitahd kuwa deep kdogo angalauNadhan mkataba unajulikana, " umesainiwa 2011 kusambasa vifaa vya alama za vidole katika vituo vya polis zaid ya 100, kwa jumla tsh billion 37"
Kama hataki uonyeshwe, basi ajibu maswali ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi, kwanin zimeshatumika billion 34 kwa vituo 14 pekee..?!
Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.